Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,785
Huo ujinga wenu wa kanu sijui zanu tulikuwa nao uliitwa TANU na tuliupiga chini mwaka 1977 na kuanzisha CCM yetu, hivyo CCM siyo zao la Mkoloni kama KANU au ZANU bali CCM ni kazi yetu wenyewe, tumeianzisha wenyewe, hivyo mambo ya kusema CCM itakufa kama Kanu yaishe kwani tulishaua TANU 1977, hivyo CCM ni yetu na siyo ya Muzungu kama kanu na nisisikie tena mkifananisha CCM na ujinga, ...