Navy Kenzo wajipanga upya, wambwaga meneja wa Diamond

ricktz

Member
Jun 25, 2016
20
11
#ETrending Kundi la muziki la @navykenzoofficial likiwa kwenye maandalizi ya kuachia kazi mpya hivi karibuni. Habari za chini ya carpet ni kuwa kundi hilo la muziki limesitisha kufanya kazi na meneja wao #SallamSk ambaye pia ni meneja wa @#DiamondPlatnumz

Navy Kenzo wapo mbioni kuachia kazi zao zijazo wakiwa chini ya uongozi mpya ambao ni kampuni kubwa ya kusambaza na kusimamia kazi za wasanii duniani (Jina Kapuni).
.
.
#RickMedia
#NewsChamber
#EntertainmentChamber
IMG_20191009_220949_729.jpeg
 
Kusimamiwa na Sallaam ni kupoteza muda, maana muda wake mwingi anaspend kwa Diamond (kwenye hela), nadhani hata AY walishindwana kwa sababu hiyo
 
Kusimamiwa na Sallaam ni kupoteza muda, maana muda wake mwingi anaspend kwa Diamond (kwenye hela), nadhani hata AY walishindwana kwa sababu hiyo
Hawataki kujifunza kwanini Tale "aliachana" na Tip Top Connection!
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom