Navutiwa zaidi na mume wa mtu, nifanyaje niache hii tabia?

Aunty kemmy

Member
Dec 13, 2013
46
21
Nimekuwa nikivutiwa sana kuwa na mume wa mtu kuliko wale ambao hawajaoa. Hata ambao wananitongoza wengi ni waume za watu. Nina date mume wa mtu na nampenda sana.

Yan mwanaume akija kunitongoza nikigundua sio mume wa mtu napoteza hamu ya kuwa nae. Nishawahi kuwa na ambao hawajaoa nimeishia kuachana nao tu lakini mume wa mtu huyu sijawahi kufikiria kumuacha, hata bikra nilitolewa na mume wa mtu.

Sasa tunakuja kwenye ukweli, sio kwamba napenda kuwa hivi ila ndo nilivo na ninaona ni tatizo kubwa sema ndo sijui nifanyeje ili niache hii tabia.
 
Nimekuwa nikivutiwa sana kuwa na mume wa mtu kuliko wale ambao hawajaoa. Hata ambao wananitongoza wengi ni waume za watu.Nina date mume wa mtu na nampenda sana. yan mwanaume akija kunitongoza nikigundua sio mume wa mtu napoteza hamu ya kuwa nae. nishawahi kuwa na ambao hawajaoa nimeishia kuachana nao tu. lakin mume wa mtu huyu sijawai kufikiria kumuacha. hata bikra nilitolewa na mume wa mtu.
Sasa tunakuja kwenye ukwel..sio kwamba napenda kuwa hivi ila ndo nilivo na ninaona ni tatizo kubwa sema ndo cjui nifanyeje ili niache hii tabia
unapepo kaombewe
 
Mi mme wa mtu lkn mke wangu mtata kweli.
Mara ya mwisho kuna mdada alikalishwa kwenye chupa ya Dompo.
Vipi bado upo interested nikupm?
 
Pole. Nadhani hilo ni tatizo la kisaikolojia zaidi. Yule wa kwanza ndiye aliyekuingiza kwenye mlengo huo wa fikra. Tafuta wa kwako halafu ukubaliane na ukweli, mengine yatapotea taratibu.
 
Nimekuwa nikivutiwa sana kuwa na mume wa mtu kuliko wale ambao hawajaoa. Hata ambao wananitongoza wengi ni waume za watu.Nina date mume wa mtu na nampenda sana. yan mwanaume akija kunitongoza nikigundua sio mume wa mtu napoteza hamu ya kuwa nae. nishawahi kuwa na ambao hawajaoa nimeishia kuachana nao tu. lakin mume wa mtu huyu sijawai kufikiria kumuacha. hata bikra nilitolewa na mume wa mtu.
Sasa tunakuja kwenye ukwel..sio kwamba napenda kuwa hivi ila ndo nilivo na ninaona ni tatizo kubwa sema ndo cjui nifanyeje ili niache hii tabia
Wewe ni Muislamu? kama sio jitahidi uwe muislamu iliupate mume wa mtu kwa uhali kabisa hata mimi kama unalipa nitakuoa uwe mkenamba mbili
:D:D:D:D:D:D:D..................................
 
Back
Top Bottom