Navutiwa zaidi na mume wa mtu, nifanyaje niache hii tabia?

Hapo kinacho kuvutia sio mume wa mtu ila naona unavutiwa kuwa single parent.kama hujawahi kushuhudia varangati la mume wa mtu endelea kuvutiwa nao ila cku yakikupata usisahau kutuletea mrejesho.Do it 4 your own risk.
 
Kwani hata asiye na mke hawezi kuwa na mabibi wengi? Halafu swala la condom ni maamuzi yetu wanaume wanawake wapo free.
Asiye na mke akiwa na mabibi wengine ni risk you don't know about but putting your self at the risk you are aware with, it's some thing else.
 
Asiye na mke akiwa na mabibi wengine ni risk you don't know about but putting your self at the risk you are aware with, it's some thing else.

sasa unasema watu watumie kondom kwa michepuko? Ni wazo zuri ila asilimia kubwa ya watu walio na michepuko kwanza wamezaa nayo ,pili wanatoa hela na hawataki condom.Its always simple like that.!!!!
 
Duhhhh Pole.
Angalia useje ukaharibu ndoa ya watu .
Huyo mume wa mtu na yeye hana adabu kukukubalia.
 
sasa unasema watu watumie kondom kwa michepuko? Ni wazo zuri ila asilimia kubwa ya watu walio na michepuko kwanza wamezaa nayo ,pili wanatoa hela na hawataki condom.Its always simple like that.!!!!
No comment mkuu, ARV's zipo.
 
Nimekuwa nikivutiwa sana kuwa na mume wa mtu kuliko wale ambao hawajaoa. Hata ambao wananitongoza wengi ni waume za watu. Nina date mume wa mtu na nampenda sana.

Yan mwanaume akija kunitongoza nikigundua sio mume wa mtu napoteza hamu ya kuwa nae. Nishawahi kuwa na ambao hawajaoa nimeishia kuachana nao tu lakini mume wa mtu huyu sijawahi kufikiria kumuacha, hata bikra nilitolewa na mume wa mtu.

Sasa tunakuja kwenye ukweli, sio kwamba napenda kuwa hivi ila ndo nilivo na ninaona ni tatizo kubwa sema ndo sijui nifanyeje ili niache hii tabia.
Una pepo. Ngoja nikukemee. "Ewe pepo upendae waume za watu toka kwa jina la yesu".
 
Ukikuta samaki anamshinda akilii binadam n jmbo la kufedhhehesha sna hwz ukamkuta samaki nchi kavu anatembea kwa sabbu sio kwake lkn binadam tunapenda kukosea njia za kupita wkt tuna akili kumzd samaki any way jmbo ambalo ww usingependa ufnyiwe usipende kumfnyia binadam mwenzio for every action there is a equal and opposite reaction malipo yke ypo hpa hpa
 
Back
Top Bottom