Navutiwa na wanawake watu wazima

Kule kwenye kingreza nimeshindwa manake ulimi mzito

Vijana wanataka za wakubwa, ila nakubaliana nao coz hata mimi pamoja na uzee huu kwa binti wa 20s siwezi.
Hahaa ulimi unakua kama umeuweka gundi 😀😀 njoo tujitahidi hivo hivo mkuu one day yes.

Kwahiyo nawewe unapenda watu wazima aka wabibi?😀 Kwanini hutaki vibinti vibichi?
 
Hahaa ulimi unakua kama umeuweka gundi njoo tujitahidi hivo hivo mkuu one day yes.

Kwahiyo nawewe unapenda watu wazima aka wabibi? Kwanini hutaki vibinti vibichi?
Huko niwaachie nyie, mimi najitahidi kiswahili changu kikae vizuri kwanza.

Kwangu kuwa na mtu mzima ni sawa coz I'm also of the same age group, hao vijana wa 20s wanaotaka kulala na wadada wa 40s ndio tuwamulike tochi, binafsi chini ya 32 sitaki.
 
Mmh kaongo you're of same age? Nakuhisigi ni kijana mdogo kawaida tu eti. Maybe nakukosea na kwanini ushawahi kupata usumbufu kwa hao under 32?

Njoo kule utusaidie kuimprove the language na uko vizuri(fluent) ila basi unatuchora tu siye beginners 😀
 
Mmh kaongo you're of same age? Nakuhisigi ni kijana mdogo kawaida tu eti. Maybe nakukosea na kwanini ushawahi kupata usumbufu kwa hao under 32?

Njoo kule utusaidie kuimprove the language na uko vizuri(fluent) ila basi unatuchora tu siye beginners
Umenisoma vibaya nadhani, nishapitaga ujana mda sana. Naukaribia uzee, so nadeal na wadada wakubwa.
 
Back
Top Bottom