One moment
Senior Member
- Oct 22, 2016
- 108
- 113
- Thread starter
- #121
Hichi ulichokiongea ni tofauti na story yangu, nafikili ujaelewa story yangu na sidhani kama utaelewa hata nikichukua time nikueleweshe nilichomaanisha.. Msalimie Godzila mkuuKwa nn umekubali kumkubalia arud hata kama unahasira?? Niliwah kusema juz kati katk uzi wa Godzilla anateseka baada ya kuachwa na demu wake,na nikasema kabsa anaeachwa ana afadhali zaid kuliko anaeacha,,kuachwa ni bora kuliko kuacha,,sasa wewe ulishakua bora ila ubora wako umeutupa na kuamua kumkubalia,,,.Hiv unadhan wewe ndio unampa huyo mtoto maisha?wengi mmekwama mahal na mnateseka ndank ya mioyo yenu kwa kuamin ujinga unaoaminishwa na jamii kwamba mtoto ndio sababu inafanya niishi nae japo simpend mwenzangu,,are you serious man?hujui una maisha yako? Hujui hyo mwanamke ana maisha yake? Hujui huyo mtoto ana maisha yake?baada ya kushindana tabia kwa hyo mtoto ndio msuluhishi anaefanya mrudiane?ujinga ila nikuambie tu kosa ulilofanya litakuumiza kuliko mwanzo,,mwanaume shupavu,anaeelewa maisha na thaman ya akili yake akiachwa harudiii kwa mwanamke yule yule,,mtu anaejielewa hawez kurudia alipoachwa,tena kumwonyesha wewe ni kidume ungemwambia kaa hapa mimi niondoke,we ishi hapa na mwanao mi nasepa zangu kuanza maisha popote.
UTAUMIA ZAID KULIKO MWANZO TUPO HAPA NA USHAHID UTAKUJA MWENYEWE KUUSEMA JAMVINIB JF.
USISAHAU WANAOPENDANA KWA DHATI HUA HAWAACHANI ASILAN