Elections 2010 Navipongeza Vyombo Vya Habari Kwa Kutotoa Nafasi Kwa Wachakachuaji!

payuka

JF-Expert Member
Jun 17, 2010
829
127
Navipongeza vyombo vya habari kwa kuendelea kuwahabarisha watanzania nchi nzima juu ya kinachoendelea kuhusiana na uchaguzi, Pongezi za pekee ziende kwa vyombo vyote vya habari vilivyokuwa vinafanya kazi bila kupendelea upande wowote.

Pongezi za pekee ziviendee vyombo vifuatavyo:
  1. Jamii Forums
  2. Gazeti la Mwananchi
  3. Magic FM
  4. Channel 10
  5. ITV
  6. Radio Free Africa
  7. BBC SWahili
  8. Gazeti La Tanzania Daima
  9. TBC1
  10. Raia Mwema
Vile Vile natumai Vyombo/Taasisi zifuatavyo wamejifunza Mengi Kuhusiana na Demokrasia:
  1. REDET, Synnovate
  2. Gazeti la Al-Huda
  3. Radio Uhuru
  4. Gazeti La Uhuru
  5. NEC
  6. JWTZ
  7. Jeshi la Police
  8. Michuzi Blog
  9. Tafadhali endeleza list
  10. Mjengwa Blog
 
Nimesahau na mjengwa blog, mmiliki ajifunzi power ya demokrasia!
 
Navipongeza vyombo vya habari kwa kuendelea kuwahabarisha watanzania nchi nzima juu ya kinachoendelea kuhusiana na uchaguzi, Pongezi za pekee ziende kwa vyombo vyote vya habari vilivyokuwa vinafanya kazi bila kupendelea upande wowote.

Pongezi za pekee ziviendee vyombo vifuatavyo:
  1. Jamii Forums
  2. Gazeti la Mwananchi
  3. Magic FM
  4. Channel 10
  5. ITV
  6. Radio Free Africa
  7. BBC SWahili
  8. Gazeti La Tanzania Daima
  9. TBC1
Vile Vile natumai Vyombo/Taasisi zifuatavyo wamejifunza Mengi Kuhusiana na Demokrasia:
  1. REDET, Synnovate
  2. Gazeti la Al-Huda
  3. Radio Uhuru
  4. Gazeti La Uhuru
  5. NEC
  6. JWTZ
  7. Gazeti la Raia Mwema
  8. Michuzi Blog
  9. Tafadhali endeleza list
Rai Mwema hawapaswi kuwemo kwenye list yako ya pili hapo juu.
Pls wahamishie kwenye list ya kwanza otherwise you should get your head examined...
and fast!!
 
Back
Top Bottom