Navipongeza Vyombo Vya Habari Kwa Kutotoa Nafasi Kwa Wachakachuaji! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Navipongeza Vyombo Vya Habari Kwa Kutotoa Nafasi Kwa Wachakachuaji!

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by payuka, Nov 1, 2010.

 1. payuka

  payuka JF-Expert Member

  #1
  Nov 1, 2010
  Joined: Jun 17, 2010
  Messages: 832
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Navipongeza vyombo vya habari kwa kuendelea kuwahabarisha watanzania nchi nzima juu ya kinachoendelea kuhusiana na uchaguzi, Pongezi za pekee ziende kwa vyombo vyote vya habari vilivyokuwa vinafanya kazi bila kupendelea upande wowote.


  Pongezi za pekee ziviendee vyombo vifuatavyo:
  1. Jamii Forums
  2. Gazeti la Mwananchi
  3. Magic FM
  4. Channel 10
  5. ITV
  6. Radio Free Africa
  7. BBC SWahili
  8. Gazeti La Tanzania Daima
  9. TBC1
  10. Raia Mwema
  Vile Vile natumai Vyombo/Taasisi zifuatavyo wamejifunza Mengi Kuhusiana na Demokrasia:
  1. REDET, Synnovate
  2. Gazeti la Al-Huda
  3. Radio Uhuru
  4. Gazeti La Uhuru
  5. NEC
  6. JWTZ
  7. Jeshi la Police
  8. Michuzi Blog
  9. Tafadhali endeleza list
  10. Mjengwa Blog
   
 2. payuka

  payuka JF-Expert Member

  #2
  Nov 1, 2010
  Joined: Jun 17, 2010
  Messages: 832
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Nimesahau na mjengwa blog, mmiliki ajifunzi power ya demokrasia!
   
 3. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #3
  Nov 1, 2010
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,296
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Police
   
 4. M-mbabe

  M-mbabe JF-Expert Member

  #4
  Nov 1, 2010
  Joined: Oct 29, 2009
  Messages: 4,991
  Likes Received: 3,740
  Trophy Points: 280
  Rai Mwema hawapaswi kuwemo kwenye list yako ya pili hapo juu.
  Pls wahamishie kwenye list ya kwanza otherwise you should get your head examined...
  and fast!!
   
Loading...