Jaslaws
JF-Expert Member
- May 31, 2011
- 6,016
- 5,284
Kwa wale wanaofahamu thamani ya ardhi karibuni nauza viwanja vilivyopimwa kabisa tayari kwa ajiri ya hati viwanja viko yaleyale Puna Ni km 38 kutoka ferry,viwanja ni bomba kabisa viko mita chache sana kutoka ukigoni kwa bahati ya Hindi(beach)kuna umeme.
Na baadhi ya watu niliowauzia wameshaanza kujenga(wengi wao Ni diasporas) huduma zote za jamii ziko karibu sana hutajuta kumiliki ardhi katika eneo hili bei ni 5500 kwa sqm ukubwa ni wa tofauti kuanzia sqm.400 mpaka 12000 karibuni wote kwa wingi hii bei ni ya kutupa!!