Nauza viwanja gezaulole vyenye vocha kama doc zinavyoonyesha hapo chini | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nauza viwanja gezaulole vyenye vocha kama doc zinavyoonyesha hapo chini

Discussion in 'Matangazo madogo' started by mama cha, Sep 3, 2012.

 1. m

  mama cha Senior Member

  #1
  Sep 3, 2012
  Joined: Aug 2, 2011
  Messages: 116
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hivi ni viwanja vya kupima , unachotokiwa ni kulipa gharama kama inavyoonyesha hiyo vocha na hela yangu ya udalali ni milioni mojo kwa kila kiwanja-0712769766- viwanja hivi vimeshauzwa
   

  Attached Files:

 2. snowhite

  snowhite JF-Expert Member

  #2
  Sep 3, 2012
  Joined: Aug 2, 2012
  Messages: 14,174
  Likes Received: 2,136
  Trophy Points: 280
  auntiiiiiiiie!aminia!
   
 3. Mahesabu

  Mahesabu JF-Expert Member

  #3
  Sep 3, 2012
  Joined: Jan 27, 2008
  Messages: 5,043
  Likes Received: 666
  Trophy Points: 280
  umekuwa muwazi zaidi.....tupe umbali kutoka ferry na kutoka barabara kuu....umeme na maji je?
   
 4. m

  mama cha Senior Member

  #4
  Sep 3, 2012
  Joined: Aug 2, 2011
  Messages: 116
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  umbali ni km 8 kutoka ferry,barabara ya lami, maji unachimba visima virefu mita 70 maji masafi bila chumvi, umeme upo wa taneso
   
 5. Maundumula

  Maundumula JF-Expert Member

  #5
  Sep 3, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 7,055
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  si mchezo ...

  Hizo barua ni kitu gani maana sisi wengine wageni sana anga hizo.
   
 6. Maundumula

  Maundumula JF-Expert Member

  #6
  Sep 3, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 7,055
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145

  Ndio vile viwanja ambavyo vimegawiwa juzi?
   
 7. Watu8

  Watu8 JF-Expert Member

  #7
  Sep 3, 2012
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 47,325
  Likes Received: 2,626
  Trophy Points: 280
  hivi km 8 kutoka Ferry si bado ni eneo la BUsh alilonunua kwa serikali?
   
 8. m

  mama cha Senior Member

  #8
  Sep 3, 2012
  Joined: Aug 2, 2011
  Messages: 116
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  watu8 hili eneo ni halali, na halipo kwenye mradi
   
 9. m

  mama cha Senior Member

  #9
  Sep 3, 2012
  Joined: Aug 2, 2011
  Messages: 116
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  yes maundumulu ni vyenyewe kabisa
   
 10. u

  ureni JF-Expert Member

  #10
  Sep 3, 2012
  Joined: Jun 14, 2011
  Messages: 1,272
  Likes Received: 232
  Trophy Points: 160
  Mie nataka hicho cha Shufaa H.Martin lakini udalali nakupa laki 3 sema tufanye biashara
   
 11. m

  mama cha Senior Member

  #11
  Sep 3, 2012
  Joined: Aug 2, 2011
  Messages: 116
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  zinaitwa vocha na maelezo ya malipo kama hayo unayoona
   
 12. m

  mama cha Senior Member

  #12
  Sep 3, 2012
  Joined: Aug 2, 2011
  Messages: 116
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Asante kwa offer yako URENI ila nilijua kuna laki, laki mbili, milion tano ila nikataja milion moja. Unayo njoo hutaki jifanye hujaiona post hii
   
 13. Zogwale

  Zogwale JF-Expert Member

  #13
  Sep 3, 2012
  Joined: Jul 10, 2008
  Messages: 11,613
  Likes Received: 825
  Trophy Points: 280
  Mama Cha naona ni vocha za tarehe 17, 21 na 22 August, 2012. Je ni hivi viwanja vya awamu ya pili Gezaulole au ni mtu amepima eneo lake na anauza? Inaelekea wewe uko kwenye mfumo wa viwanja. Mimi nataka viwili vilivyoungana vyote low density au medium ile kubwa je naweza kupata? Niko serious nataka tufanye biashara.
   
 14. m

  mama cha Senior Member

  #14
  Sep 3, 2012
  Joined: Aug 2, 2011
  Messages: 116
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ki ukweli vilikuwa vingi na tayari nimueza, ila kwa sasa ninavyo hivi na kuna vingine nafatilia ila sitaki kukupa uhakika ila hiki cha 1428 ni kikubwa na utakipenda ndugu yangu Zogwale. napata simu nyingi sasa itategemea nani anawahi
   
 15. Zogwale

  Zogwale JF-Expert Member

  #15
  Sep 3, 2012
  Joined: Jul 10, 2008
  Messages: 11,613
  Likes Received: 825
  Trophy Points: 280
  Ok poa. Nitakutafuta ila pia ningeshukuru kama utanipatia viwili vilivyoungana.
   
 16. m

  mama cha Senior Member

  #16
  Sep 3, 2012
  Joined: Aug 2, 2011
  Messages: 116
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  tutaangalia uwezekano@Zogwale
   
 17. m

  mama cha Senior Member

  #17
  Sep 4, 2012
  Joined: Aug 2, 2011
  Messages: 116
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Zogwale namba yako please nimepata kiwanja kinachokufaa
   
 18. njiwa

  njiwa JF-Expert Member

  #18
  Sep 4, 2012
  Joined: Apr 16, 2009
  Messages: 11,074
  Likes Received: 1,811
  Trophy Points: 280
  Hivi ndo vile viwannja vilivyogaiwa na serikali?!.. tutafika kweli?!
   
 19. Shark

  Shark JF-Expert Member

  #19
  Sep 4, 2012
  Joined: Jan 25, 2010
  Messages: 20,080
  Likes Received: 7,306
  Trophy Points: 280
  8kms zinaishia MJIMWEMA exactly!!
  Geza ni zaidi ya hizo!!
   
 20. m

  mama cha Senior Member

  #20
  Sep 4, 2012
  Joined: Aug 2, 2011
  Messages: 116
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tuambie umbali dalali shark, maana naona nimekuharibia biashara kabisa humu kwenye jamvi hahaha. ``Mtashindanda lakini hamtashinda''
   
Loading...