Nauza vitabu hivi vya Kiswahili kwa gharama nafuu

jerryempire

JF-Expert Member
Jan 4, 2017
5,091
8,548
Habari wapendwa,

Leo nimeamua kuwaletea vitabu vya Kiswahili ambavyo vingi kupatikana kwake ni ngumu na hata vingine vilikuwa vimefungiwa kutokana na maudhui na mafunzo ndani ya vitabu hivyo na vingi vikiwa vya zamani.

Kwa atakae hitaji tuwasiliane:
0659756647
0623953036

Ninapatikana Ilala. Vitabu hivyo ni kama:

1: Abunuasi
2: Mapango ya Mfalme Suleiman
3: Hujuma
4: Alfu lela Ulela (sehemu ya kwanza)
5: Sindibad

Gharama ya kitabu kimoja ni elfu 10 tu.

1571991200418.jpeg
 
jerrybanks

Mapango ya mfalme Suleiman nitakutafuta na ungeweka na picha za vitabu tuone. Pia, kama utaweza tafuta cha Allan Quatermain.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom