Nauza vifuniko vya asali wanawake wote karibuni.

Nahitaji vya Asali mbichi ile ya nyuki wadogo nimeagizwa tafadhali umbo km la miss fulani humu ndani.
 
Naskitika kuwaambieni biashara haijafanya vizuri. Sijapata mteja wa JF hata mmoja.

Nawakumbusheni tena..vifuniko vya asali bado vipo.
 
Unauza vifuniko bila Asali?
Navipataje?
Naskitika kuwaambieni biashara haijafanya vizuri. Sijapata mteja wa JF hata mmoja.

Nawakumbusheni tena..vifuniko vya asali bado vipo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom