Nauza vifuniko vya asali wanawake wote karibuni.

Nimeamua kuhamia biashara yangu humu ndani naamini mpo wadada warembo mtakaoniunga mkono kwenye hii biashara yangu mpiya.

Nauza vifuniko vya asali vya kila aina.
Uwe mwembamba kifuniko chako kipo. Uwe kibonge kama nanii kifuniko kipo. Karibu pm tuma umbo nikuchagulie kifuniko haraka kabla havijaisha.

Najali wateja...nawafit mwenyewe pale wanapohitaji msaada....G-string zipo...lace zipo...ni wewe tu...karibu ujichagulie kifuniko...

View attachment 1165004View attachment 1165005View attachment 1165006View attachment 1165007
kwan Daby wanene wanatumia kifuniko au mfuniko ? hapo kama pamenichanganya
 
sasa tatizo mbona vifuniko vyenyewe vinaacha kopo liko wazi asali itamwagika jamani wahurumie wenzio vina matobo
Hivyo vitobo vya kuingiza kaupepo mkuu.....asali isije ikaganda kwa kukosa kaunyevu ka upepo.
 
Hapo kwenye kutuma umbo hapooo, utumiwe umbo! watanzania mmekuwa wabunifu wa kutafuta shape wanazotaka. Mkuu nitapata bikini
Zipo amatolo za kutosha sema rangi huku ukijisogeza nikupime....

Usichelewe mzigo unaisha haraka.
 
Hahaha...
Eti wanene mtusaidie hapa...wenu ni vifuniko au mfuniko?
si unajua vifuniko au kifuniko ni kidogo tu ila mzigo mzito, kitu mtetemo lazima utafute mfuniko heavy mzinga wa asali upate coverage yakutosha.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom