Nauza vifaa vya car wash

Affet

JF-Expert Member
Jul 8, 2018
1,189
1,663
Habari bandugu,nina car washer naiuza 600,000 ,blower naiuza 250,000 na compressor ya lita 50 naiuza 300,000 nilikuwa na car wash sehemu baada ya kuletewa mazonge na wafanyakazi nikaifunga vifaa vipo tu ndani kwa maswali zaidi na anaehitaji tuwasiliane 0716 686118
0692 928 928
IMG-20181214-WA0003.jpg
IMG-20181214-WA0007.jpg
IMG-20181214-WA0005.jpg
 

Attachments

  • IMG-20181214-WA0009.jpg
    IMG-20181214-WA0009.jpg
    38.6 KB · Views: 55
Kuulzia siyo ujinga...

Hivyo vifaa siyo vya wizi kweli? Gharama ya hivyo vifaa na muonekana wa mazingira vilipo kuna ulakini...


Cc: mahondaw
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom