mtumbagrade1
Member
- Sep 10, 2020
- 67
- 63
Mkuu mbona ushamwambia sasaWeka picha, sio mpaka uambiwe.
Jamaa anazinguaMkuu mbona ushamwambia sasa
Weka picha za kutosha tangazo lote unaweka viatu pea mbili
Ni nyinyi wenyewe mlimshauri aanze na mtaji kidogo, leo hii mnamgeuka kuanza na pea mbili!
Siwezi kumpa ushauri wa hovyo hivyo. Kama anajua ana mtaji mdgo wa kuanza na pea mbili basi angeangalia biashara nyingine ya kufanyaNi nyinyi wenyewe mlimshauri aanze na mtaji kidogo, leo hii mnamgeuka kuanza na pea mbili!
hahhahahahaNi nyinyi wenyewe mlimshauri aanze na mtaji kidogo, leo hii mnamgeuka kuanza na pea mbili!