Nauza Toyota Rav4 milango mitano - 7milion

Osaba

JF-Expert Member
Apr 10, 2011
1,937
772
nauza toyota rav 4 milango mitano tsh milion saba tu. If ur interesting just pm me.picha zinafata
 
mtoto wa mgohamwende hujambo?
huyu bwana hajui biashara,
anaweka tangazo bila picha inaweza kuwa ni kimeo labda kaoopa kukosa soko

Mkuu simu nayotumia iko very complicated sana kuupload picture, nitaweka picture nikitumia pc
 
Ni ya mwaka gani ???weka details

Gari ni ya mwaka 1999 picha zake ni hizi hapa ImageUploadedByJamiiForums1386413653.651800.jpg ImageUploadedByJamiiForums1386413721.085084.jpg ImageUploadedByJamiiForums1386413773.180214.jpg ImageUploadedByJamiiForums1386413846.628925.jpg
 
Hiyo gari ngumu sana, nazijua hizo yani hapo ni mkataba mkuu. Ni vile tu sipo huko home I would have bought it seriously ningepeleka bush home.

Usiiuze chini ya 6m aisee bonge la gari hilo hata kama ina kilometa laki 5
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom