nauza toyota rav 4 milango mitano tsh milion saba tu. If ur interesting just pm me.picha zinafata
Ni ya mwaka gani ???weka details
Tuwekee specifications zote mkuu, tudondoshee na ka picha
Kama hauna cha kuchangia kaa kimya usiwe kama mwanamke kahaba
Gari ni ya mwaka 1999 picha zake ni hizi hapaView attachment 125407View attachment 125408View attachment 125409View attachment 125410
Kama hauna cha kuchangia kaa kimya usiwe kama mwanamke kahaba
Gari imepungua bei sasa nauza 6.5mil tu, if ur interest just pm me.
Imechoka sana, kai2pe 2 kama vp.
nyie watoto wa div 5 mnafikiri hapa ni fb?!!