nauza toyota noah old model 9.5m

Osaba

JF-Expert Member
Apr 10, 2011
1,937
772
nauza toyota noah ya mwaka 1999 bei milion tisa na nusu, specifications zake zitafata pamoja na picha kwani ni mpya haijawahi kutumika hapa bongo na hivi navyoongea ipo kwenye meli inakuja,serious buyer only na kejeli sitaki.
 
Hakuna kejeli ila Tangazo lako lina maswali mengi sana.

1. Meli inafika lini
2. Huna picha zilizo kuvutia ukaagiza? kama zipo tuwekeee basi
3. Gari ina kilometer ngapi
4. Gari ni Rangi gani?
5. .......
 
Nimekusoma mkuu, detail zitafata baada ya gari kufika
 
Back
Top Bottom