Nauza Toyota Mark II GX 110 Tsh. Milioni 4.5

Ushimen

JF-Expert Member
Joined
Oct 24, 2012
Messages
23,744
Points
2,000

Ushimen

JF-Expert Member
Joined Oct 24, 2012
23,744 2,000
ukisema kwa sasa maana yake nini mkuu?
.
namba hiyo hapo juu nicheki nitakutumia kila picha unayoitaka, mpaka copy card nitakutumia. A bit test to a serious buyer
Samahani mkuu...
Kama nimekukwaza, naomba nisikuharibie siku yako ambalo hauku lifurahia.
Ingawa kwa sisi tulio miliki magazi miaka mingi, tunatambua wazi kwamba fuel consumptions inaungua kutikana na uchakavu wa Engine.
 
Njalaliko

JF-Expert Member
Joined
May 9, 2016
Messages
615
Points
2,000

Njalaliko

JF-Expert Member
Joined May 9, 2016
615 2,000
Samahani mkuu...
Kama nimekukwaza, naomba nisikuharibie siku yako ambalo hauku lifurahia.
Ingawa kwa sisi tulio miliki magazi miaka mingi, tunatambua wazi kwamba fuel consumptions inaungua kutikana na uchakavu wa Engine.
sijakwazika mkuu, be free.
.
gari yangu haina uchakavu wa Engine mkuu, ni kama ile Raum old model namba B niliyokuuzia 2016 Dsm.
.
Sasa utanielewa vzr mkuu, nafahamu usingenikumbuka.
 
Forum statistics

Threads 1,367,280
Members 521,708
Posts 33,394,220
Top