Nauza Tairi 4 used 265/65 R17, kutoka Japan

Uswe

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
2,204
626
Nina tairi 4 used, Tubeless, size 265/65 R17.

Zimevuliwa kutoka Landcruiser prado mara baada ya kununuliwa.

Sababu za kuuza.
Aliyenunua gari aliamua kuweka tairi mpya (brand new).

Hizi tairi zipo katika hali nzuri sana, profile yake ni almost mpya.

Bei 200,000 kwa moja au nipe offer yako.

Tizama picha hizi chini
WP_20131215_002.jpg WP_20131215_004.jpg
 
jamani hakuna anayehitaji hizi tairi? trust me, ziko poa sana
 
Life span ya tairi ni miaka Mitano from year of production... Sasa hiyo ni Production ya 2002 unataka kuua watu Mkuu?
 
Back
Top Bottom