Nauza suruali za kadeti

Wandugu nauza kadeti original tsh.23,000 ni za kuvutika na staff jeans (office jeans) tsh 22,000 pia jeans 18,000 pamoja na mashati
 
Mkuu niwe mkweli kadeti zako ni MBAYA na FEKI kwa kiwango kilichopitiliza, ulinileteaga tatu nimevaa hata mwezi haukupita bt hazitamaniki, FEKI, FEKI, FEKI SIJAPATA ONA, kwa wateja wapya ambao hawajui status ya products unayouza utawapata bt kamwe mtu akinunua kwako huwezi ukamuona tena, itoshe tu kukwambia ACHA UHUNI NA UBABAISHAJI.
Una chuki binafsi na mimi au la? kwanini hukurudisha kama uliona hazikufai. wapo wengi nimewauzia sijapata malalamiko
 
Mkuu niwe mkweli kadeti zako ni MBAYA na FEKI kwa kiwango kilichopitiliza, ulinileteaga tatu nimevaa hata mwezi haukupita bt hazitamaniki, FEKI, FEKI, FEKI SIJAPATA ONA, kwa wateja wapya ambao hawajui status ya products unayouza utawapata bt kamwe mtu akinunua kwako huwezi ukamuona tena, itoshe tu kukwambia ACHA UHUNI NA UBABAISHAJI.
Mbona hueleweki wewe, au umelewa Pombe? Unajijibu mwenyewe huku ukitangaza biashara?
 
Mkuu niwe mkweli kadeti zako ni MBAYA na FEKI kwa kiwango kilichopitiliza, ulinileteaga tatu nimevaa hata mwezi haukupita bt hazitamaniki, FEKI, FEKI, FEKI SIJAPATA ONA, kwa wateja wapya ambao hawajui status ya products unayouza utawapata bt kamwe mtu akinunua kwako huwezi ukamuona tena, itoshe tu kukwambia ACHA UHUNI NA UBABAISHAJI.
Oh kumekucha!
 
Tena kama unavaa size 30 or size yoyote ukimuagiza huyu mwamba kulingana na size yako, kwa kadeti zake andaa na hela ya kwenda kupunguza au kuongeza kwa fundi.
 
Nitawezaje kugundua kuwa hii kadeti ni original?
Sina utaalam sana kwa hilo, ila hua nachukua kwa jamaa mmoja insta anaitwa Kingly_looks
.

Za kwake hua ziko fresh na hazipauki!

Hlafu pia kadeti hazitakiw kuanikwa juani mda mrefu, kama nguo za ziada za kuvaa Unayo basi unaanika tu kivulini inatosha, inatakiwa pia usifulio omo kwani inapausha.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom