Tatizo lako umekariri kwamba kila kitu ni cha msimu na kingine wewe una ubinafsi, haiwezekani wewe umekaa huko uliko unaanza kusema hakuna wateja, kakuambia nani???????????..........Kitendo cha huyu ndugu kuweka tangazo hapa jf ndio mwanzo wa kupata wateja ambao wewe unasema huwaoni. Pole sana endelea na kukariri.Biashara za msimu watu wamedanganywa wamefuga kwa wingi soko hakuna
Si lazima biashara. Sungura ni kitoweo kama unavyofuga kuku. Si kila mfuga kuku ni mfanya biasharaBiashara za msimu watu wamedanganywa wamefuga kwa wingi soko hakuna
Walinzi. . Maswali mengine bana ...weird!Ahsante kwa taarifa.
Sungura wana kazi gani?
sio kwa jibu hiloWalinzi. . Maswali mengine bana ...weird!