Nauza Sony HI-FI System watts 10000 pmpo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nauza Sony HI-FI System watts 10000 pmpo

Discussion in 'Matangazo madogo' started by survivor03, Jan 11, 2012.

 1. survivor03

  survivor03 JF-Expert Member

  #1
  Jan 11, 2012
  Joined: Jan 10, 2012
  Messages: 225
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Nauza Sony Hi-Fi System watts 10000 pmpo ina dvd player na 3disc changer bei 580,000 tshs na maelewano yapo. Contact 0715388666 check picha...
   

  Attached Files:

 2. mpinga shetani

  mpinga shetani JF-Expert Member

  #2
  Jan 12, 2012
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 3,268
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  Kweli hii ni January mnaonywa kila siku msifuje fedha kipindi cha sikukuu hamsikii.
  humu watu wanataka vitu productive kama computer still kuna wale wa Shinyanga wataichangamkia. ila kwa hiyo bei sijui
   
 3. survivor03

  survivor03 JF-Expert Member

  #3
  Jan 12, 2012
  Joined: Jan 10, 2012
  Messages: 225
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Bro hayo ni mawazo yako, vitu productive!! Na halikadhalika pia vitu vya entertainment watu ndio wanavikubali zaidi.
   
 4. Mamaya

  Mamaya JF-Expert Member

  #4
  Jan 12, 2012
  Joined: Jul 4, 2011
  Messages: 3,726
  Likes Received: 446
  Trophy Points: 180
  Nipe Rms watts zake hiyo pmpo watts hazina ishu hata redio ya mchina betri mbili kubwa utakuta ameandika 500watts pmpo. Na ni sony underlicence wapi? Singapore or malysia?
   
 5. survivor03

  survivor03 JF-Expert Member

  #5
  Jan 13, 2012
  Joined: Jan 10, 2012
  Messages: 225
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Yes boss! sony manufactured underlicence Dolby laboratories DTS' sony corporation. Total 905WRMS.
   
 6. Mamaya

  Mamaya JF-Expert Member

  #6
  Jan 13, 2012
  Joined: Jul 4, 2011
  Messages: 3,726
  Likes Received: 446
  Trophy Points: 180
  Mkuu hiyo kitu inayoitwa dolby or dts ni sound card chip for video and audio equpments na kama ilivyo saund card za computer na kila redio original lazima iwe na hyo kitu,ndio maana redio ambazo ziko standard sound ac haziungui sana kama ambazo hazina dts. Hivyo ukiniambia ni product ya dts unanidanganya.hebu soma nyuma ya redio yako utapata detail zote na rms wats utazipata hapo.
   
 7. survivor03

  survivor03 JF-Expert Member

  #7
  Jan 14, 2012
  Joined: Jan 10, 2012
  Messages: 225
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Ndugu nimemaanisha kuwa hiyo system ni original ina DTS na ina rms 905 watts underlicence malaysia.
   
 8. Mlamoto

  Mlamoto JF-Expert Member

  #8
  Jan 14, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 347
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45
  Mi nakuamini. Nimeicheki nikafananisha na ninayoifahamu uko sawa! Na bei unayouza ni chee! Mi nilinunua mara mbili ya bei yako!
   
 9. NGUVUMOJA

  NGUVUMOJA JF-Expert Member

  #9
  Jan 14, 2012
  Joined: Jul 1, 2011
  Messages: 1,353
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Ulimaanisha nn kuhusu wale wa Shy, ndio wapenda starehe au washamba?
   
 10. Masika

  Masika JF-Expert Member

  #10
  Jan 14, 2012
  Joined: Sep 18, 2009
  Messages: 731
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Kwa mia nne itaenda?
   
 11. survivor03

  survivor03 JF-Expert Member

  #11
  Jan 15, 2012
  Joined: Jan 10, 2012
  Messages: 225
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Yaani bro afadhali wewe mjanja halafu inaonekana unavijuwa vitu vya ukweli faster, maana inakkuwa mtihani kwa masela wengine mara wanange biashara za watu, mara maelezo ya item ya mengi ndio wafahamu, duh!
   
 12. survivor03

  survivor03 JF-Expert Member

  #12
  Jan 15, 2012
  Joined: Jan 10, 2012
  Messages: 225
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Boss bei top top ni 550, kama mlamoto alivyokueleza yaani hiyo bei ni nusu ya bei inavyouza shop. ''kifaa cha ukweli''
   
 13. survivor03

  survivor03 JF-Expert Member

  #13
  Jan 19, 2012
  Joined: Jan 10, 2012
  Messages: 225
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Sony Hi-Fi System watts 10000 pmpo. Watts 905 RMS ina dvd player na 3disc changer bei 580,000 tshs na maelewano yapo. Contact 0715388666
   
 14. survivor03

  survivor03 JF-Expert Member

  #14
  Feb 2, 2012
  Joined: Jan 10, 2012
  Messages: 225
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Wakuu mziki bado upo sokoni, kwa anayehitaji kuuona ani pm au anipigie simu nimerudi niko dar kwa sasa.
   
Loading...