Nauza simu yangu Nokia 7230

kama unamaanisha 50,000/= ngoja nisubiri wengine japo offer yako sio mbaya ndo ulichonacho.......
 
simu ni almost new na haina tatizo lolote nauza tu vile na shida na mpunga na sikukuu ile, ila chini ya 100,000= siuzi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom