Nauza shati za kike na blouse (Tsh 3000)

Kamwene kamwene

Kamwene kamwene

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2019
Messages
303
Points
1,000
Kamwene kamwene

Kamwene kamwene

JF-Expert Member
Joined Jul 7, 2019
303 1,000
Umeweka za vibonge wenzako tu usifanye chibonge sio vizuri..
Nguo nzuri bhana
Za kiofisi sijaona hata moja weka chibonge hizo ni muhimu sana,kabda iyo nyekundu kidoogo
 
Big Fat Lady

Big Fat Lady

Member
Joined
Jul 26, 2019
Messages
80
Points
125
Big Fat Lady

Big Fat Lady

Member
Joined Jul 26, 2019
80 125
Umeweka za vibonge wenzako tu usifanye chibonge sio vizuri..
Nguo nzuri bhana
Za kiofisi sijaona hata moja weka chibonge hizo ni muhimu sana,kabda iyo nyekundu kidoogo
niliweka za wembamba zishachukuliwa ... Yapo mashati
 
manengelo

manengelo

JF-Expert Member
Joined
Aug 13, 2018
Messages
18,911
Points
2,000
manengelo

manengelo

JF-Expert Member
Joined Aug 13, 2018
18,911 2,000
Big fat niseme ukweli wa ndani kabisa!hapo hakuna nguo.hata moja inayoshawishi!
hizi ngu0 ulizoweka hapa mnadani ndo pahala pake..hazina mvuto kbs yaan..nadhan huna jicho la nguo! .jitahidi kichagua nguo nzuri bora uuuze aghali lakini ziwe zina mvuto!kama hujui kuchagua ngup tafuta mtu mjanja muongozane naye akuoneshe nguo kali!
kila la heri
 
Big Fat Lady

Big Fat Lady

Member
Joined
Jul 26, 2019
Messages
80
Points
125
Big Fat Lady

Big Fat Lady

Member
Joined Jul 26, 2019
80 125
Big fat niseme ukweli wa ndani kabisa!hapo hakuna nguo.hata moja inayoshawishi!
hizi ngu0 ulizoweka hapa mnadani ndo pahala pake..hazina mvuto kbs yaan..nadhan huna jicho la nguo! .jitahidi kichagua nguo nzuri bora uuuze aghali lakini ziwe zina mvuto!kama hujui kuchagua ngup tafuta mtu mjanja muongozane naye akuoneshe nguo kali!
kila la heri
Asanteee
 
Forum statistics

Threads 1,325,442
Members 509,127
Posts 32,192,662
Top