nauza shamba kwa nusu eka million 5. Lipo kigamboni km 7 kutoka funcity.

mama cha

Senior Member
Aug 2, 2011
115
9
barabara ya gari inafika hadi shamba. Umeme haujafika, halijapimwa ila lina vielelezo vya umiliki halali kutoka serikali ya mitaa na serikali ya kijiji . Cal me 0712769766
 
barabara ya gari inafika hadi shamba. Umeme haujafika, halijapimwa ila lina vielelezo vya umiliki halali kutoka serikali ya mitaa na serikali ya kijiji . Cal me 0712769766

Mkuu kwa vielelezo ulivyoweka unaweza usinivutie sana kununua shamba hilo, labda ungeeleza ni investment gani iliyofanyika katika shamba hilo hata ukapangabei hiyo. Ukiondoa ukaribu wa shamba hilo na funcity kuna kitu gani kingine cha kuongeza thamani ukizingatia kuwa halijapimwa na wala umeme haujafika?
 
Lakini ndugu huko Kigamboni si tunasikia kuwa kuna mradi wa Mji Mpya??

Sasa inakuwa je kuhusu uhalali wake, isije kuwa unakimbia mradi wewe!!!!!!!

MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
 
ukilinganisha na ya nani@kanyagio?, @mwalwisi wewe c mnunuzi na nina uhakika hujui thamani ya ardhi ndo maana unalopoka wanjojua wamekuja na wengine wamenunua,@mizambwa hujielewi kwani unasikia na wala hujafanya jitihada za kujua mradi unaanzia wapi na kuishia wapi. Achen kudandia gari kwa mbele take time 2make analysis b4 u post
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom