Nauza Shamba chanika majumba sita, Bei karibu na bureeee

Dec 19, 2012
77
13
nauza shamba maeneo ya chanika majumba sita
shamba lina ukubwa wa heka 2
pia lina minazi 2, mikorosho 4 na mimbe midogo 2
pia kuna mihogo ila haijapaliliwa
bei milioni 6 ila maelewano yapo


namba 0789 444 993
0713 444 993
 
biashara za hivi siku zote ni biashara kichaa, unaficha bei ili iweje? au unataka tulete tenda?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom