Nauza shamba 25Km from ferry - Kigamboni

M-pesa

JF-Expert Member
Sep 4, 2011
602
151
Ninauza shamba lenye ukubwa wa ekari moja, lipo umbali wa kilometa 25 kutoka ferry. Eneo linaitwa mbutu Mkwajuni.
Bei Tshs. 4000,000 ( Milioni nne). Mmiliki ni mimi mwenyewe, piga namba 0658 517 808 tufanye biashara.
 
M-pesa ..... please
 
Ni bei nzuri sana hiyo kwa mbutu.. tatizo nji ile stop order ya kupima kutokana na kusubiri new master plan
 
Tusubiri wapime kwanza maana shamba lisijekutwa limegawanywa vipande viwili kutokana na upishaji wa barabara au kuwa eneo wazi kwa shughuli za kijamii au serikali.
 
Heka moja 4m??? 25 km from feli unapata mashamba la heka moja kwa laki 8 mpaka 9 my friend. Unless ukiingia kichwa kichwa ndiyo inakuwa bei kichaa kama hii yako.
 
Nielekeze huko ni wapi niende nikachukuwe ekari zangu za kutosha. Au utaniambia nawe uliambiwa?
Heka moja 4m??? 25 km from feli unapata mashamba la heka moja kwa laki 8 mpaka 9 my friend. Unless ukiingia kichwa kichwa ndiyo inakuwa bei kichaa kama hii yako.
 
Ninauza shamba lenye ukubwa wa ekari moja, lipo umbali wa kilometa 25 kutoka ferry. Eneo linaitwa mbutu Mkwajuni.
Bei Tshs. 4000,000 ( Milioni nne). Mmiliki ni mimi mwenyewe, piga namba 0658 517 808 tufanye biashara.

Nimeamini matapeli wana mbinu nyingi za kuwarubuni watu. Wewe M-Pesa unaonekana unataka kuwatapeli watu na hiki kiwanja. Kitendo chako cha kuanzisha threads mpya 4 ndani ya siku mbili huku ukiondoa comments za wanaojua habari ya kiwanja hiki kama ZeMarcopolo na zingine nyingi hata ya kwangu kinatupa wasiwasi mkubwa juu yako. Wana JF nawashauri msinunue kiwanja hiki na muwe makini sana na threads za M-Pesa. Ukitaka kuthibitisha hili-click jina lake kisha angalia kipengele cha started threads utaona threads alizoanzisha na kuondoa kuhusu suala hili. Baadhi yake ni hizi hapa.

By ZeMarcopolo
Mimi nina ardhi huko na nimeacha kuidevelop kwa sababu tushapewa taarifa na hata TBC walionyesha kikao chetu na mkuu wa wilaya ya Temeke kuhusu kunyan'ganywa maeneo yetu, tunajaribu kuresist lakini najua mpaka mwisho hatutafanikiwa kwa sababu tuko devided sana. Sasa jamaa
anataka kujifanya gwiji la matapeli, ila kinachoniudhi zaidi ni kwamba anamiss use Jamiiforums

ZeMarcopolo
View Profile View Forum Posts Private Message Add as Contact Send Email 6th September 2011 11:21 #5 JF Senior Expert Member
Join Date : 11th May 2008
Posts : 1,349Rep Power : 26 Re: Ninauza shamba lenye ukubwa wa ekari moja
Mbutu ni miongoni mwa maeneo ambayo yatachukuliwa na serikali kwa ajili ya kigamboni city project. Kabla hujanunua jihakikishie kuwa eneo hilo hutanyang'anywa.
Like Reply Reply With Quote

////////////////////
Ninauza shamba lenye ukubwa wa ekari moja
Ninauza shamba lenye ukubwa wa ekari moja, lipo umbali wa kilometa 25 kutoka ferry. Eneo linaitwa mbutu Mkwajuni.
Bei Tshs. 4000,000 ( Milioni nne). Mmiliki ni mimi mwenyewe, ni pm tufanye biashara.

Nimeattach Pdf document ya Kigamboni new city ili ujuwe ni eneo gani litakaloathiriwa na mradi. Pia mnunuzi yuko huru kwenda kufanya search ya eneo Manispaa ya Temeke na wizarani ili kujiridhisha kabla ya kununua.

Kigamboni New City B.pdf

Kwa Maelezo ya Ziada Kuhusu Kigamboni Tafadhali Tembelea website ifuatayo kujiridhisha kabla ya kufanya maamuzi:
Kigamboni New City | Ministry of Lands and Human Settlements Development
Last edited by M-pesa; Yesterday at 11:31.
Like Reply Reply With Quote .
--------------------------------------------------------------------------------

Gama
View Profile View Forum Posts Private Message Add as Contact 6th September 2011 09:42 #2 JF Senior Expert Member
Join Date : 9th January 2010
Posts : 2,330Rep Power : 26 Re: Ninauza shamba lenye ukubwa wa ekari moja
Eka moja ni shamba au plot ya kujenga nyumba ndogo ya kuishi?

NG'ADA
View Profile View Forum Posts Private Message Add as Contact Send Email 6th September 2011 11:18 #3 Member
Join Date : 2nd September 2011
Posts : 13Rep Power : 0 Re: Ninauza shamba lenye ukubwa wa ekari moja
4000,000??????nimependa huu uandishi wa namba..

View Profile View Forum Posts Private Message Add as Contact Send Email 6th September 2011 11:21 #4 Member
Join Date : 4th September 2011
Posts : 45Rep Power : 0 Re: Ninauza shamba lenye ukubwa wa ekari moja
wewe ndo utaamua kama liendelee kuwa shamba au ujenge nyumba ndogo ya kuishi.

By Gama

.

View Profile View Forum Posts Private Message Add as Contact Send Email 6th September 2011 11:22 #6 Member

Tsh 4000,000 ( Milioni nne cash) hakuna negotiations!

By NG'ADA

View Profile View Forum Posts Private Message Add as Contact Send Email 6th September 2011 11:26 #7 Member

Hilo liko wazi ambae anahitaji eneo yuko huru kwenda manispaa ya Temeke au Wizarani kuangalia usalama kabla hajanunua. Kuna ambae ananunua eneo bila kwenda manispaa kucheck?
Lakini kwenye Red Umedanganya nitatoa website ya wizara muaangalie maeneo yanayoathiriwa na mradi wa kigamboni.

View Profile View Forum Posts Private Message Add as Contact Send Email 6th September 2011 11:31 #8 JF Senior Expert Member

Huyu muuzaji anayejiita M-pesa hayuko ethical. Kama kuna mtu anataka eneo ni bora akatafute kwa mtu mwingine. Hapa ananiandikia PM kibao za vitisho ili nisiseme ninayoyajua kuhusu mbutu. Alianzisha thread leo kaifuta baada ya kuona watu watajua ukweli. Sishauri kufanya biashara ya kiwanja hicho na M-pesa.

View Profile View Forum Posts Private Message Add as Contact Send Email 6th September 2011 11:37 #9 Member

Ndugu yangu nani anakutisha? Hivi ulimwengu huu nani ananunua kiwanja bila kufanya search? Mnunuzi yupo huru kwenda Manispaa ya Temeke hadi wizara ya ardhi ili kujiridhisha kabla ya kununua. Nina hakika asilimia mia moja unakurupuka kwa posts zako.
Wewe ni Great thinker kweli? Thread ipi nimeifuta ndugu? Unaweza kuthibitisha?
Mimi nafanya biashara kwa akili, na ndio maana utaona nimeweka thread tofautitofauti zenye content moja katika majukwaa yafuatayo: Biashara, Matangazo madogomadogo na Habari Mchanganyiko.

gmosha48
View Profile View Forum Posts Private Message Add as Contact 6th September 2011 11:38 #10 Senior Member
Join Date : 19th October 2010
Posts : 81Rep Power : 21 Re: Ninauza shamba lenye ukubwa wa ekari moja

Mkuu asante sana kwa kututonya. Nashangaa hata mimi nilimuuliza kuhusu documents na kama kiwanja/ shamba limepimwa. Hakujibu na wala maulizo yangu siyaoni, kumbe alifuta!
LikeNgo'ng'o Reply Reply With Quote .

View Profile View Forum Posts Private Message Add as Contact Send Email 6th September 2011 11:42 #11 JF Senior Expert Member

Huna haja ya kuniandikia PM kuhusu thread ambayo iko public. Hiyo ni dalili ya kukosa uaminifu na nitashangaa kuona mtu anainvest sh. Milioni nne katika biashara na wewe. Ninachokifanya ni kuhakikisha kuwa JF haitumiwi kwa utapeli. Kama unauza kitu weka thread na acha members watoe maoni yao, hupaswi kukataza members kusema wanayoyafahamu kuhusu product unayouza. Unaweza kutoa sababu ziliyokufanya ufute ili thread uliyoleta awali kuhusu hilo "shamba"?

View Profile View Forum Posts Private Message Add as Contact Send Email 6th September 2011 11:44 #12 Member

Hulazimishwi kununua, sipo desperate kwenye kuuza ardhi yangu. Najua nafanya biashara ambayo ni genuine! By the way ninatoa ekari moja kati ya tatu nilizonazo. Kwa hivyo ambaye atanunua, nitakuwa naye jirani! Hofu yako ndo umaskini wako!!!!

By gmosha48

Katavi
View Profile View Forum Posts Private Message Add as Contact Send Email 6th September 2011 11:45 #13 JF Premium Member
Join Date : 31st August 2009
Location : Lyamba Lya Mfipa
Posts : 9,429Rep Power : 41 Re: Ninauza shamba lenye ukubwa wa ekari moja

By M-pesa

Mtakuwa mnajuana...
LikeWhenever You find the KEY to success, someone changes the Lock. Reply Reply With Quote .

View Profile View Forum Posts Private Message Add as Contact Send Email 6th September 2011 11:50 #14 Member

Unajua sorry to say, but real I doubt kuhusu uwezo wako wa kufikiri! Hivi moderators wakiulizwa kuthibitisha kama kuna thread yeyote nimeifuta alafu wakisema si kweli utajisikiaje? Nahakika hakuna thread hata moja iliyofutwa, Invisible anaweza kuthibitisha hilo.

View Profile View Forum Posts Private Message Add as Contact Send Email 6th September 2011 11:50 #15 JF Senior Expert Member

Katavi umenichekesha kuliko siku zote... Hahahahahahahahahaha.... Mtu anaweza kudhani tunajuana, ila I have no idea who this dude is! Nimeshangaa jamaa yuko aggressive utadhani katongozewa mke. Mimi nina ardhi huko na nimeacha kuidevelop kwa sababu tushapewa taarifa na hata TBC walionyesha kikao chetu na mkuu wa wilaya ya Temeke kuhusu kunyan'ganywa maeneo yetu, tunajaribu kuresist lakini najua mpaka mwisho hatutafanikiwa kwa sababu tuko devided sana. Sasa jamaa anataka kujifanya gwiji la matapeli, ila kinachoniudhi zaidi ni kwamba anamiss use Jamiiforums.

View Profile View Forum Posts Private Message Add as Contact Send Email 6th September 2011 11:53 #16 Member

Mkuu nikikuambia hata simfahamu...huwezi kuamini, yaani the guy is coming from nowhere na kuanza kunishushia tuhuma nzito nzito. Hivi Tanzania ya leo mtu anaweza kununua ardhi bila kufanya search kwanza?

By Katavi

View Profile View Forum Posts Private Message Add as Contact Send Email 6th September 2011 11:58 #17 Member

Uko huru kuongea lolote bwana! Lakini Muongo hawezi kudanganya siku zote! Mara ulitaka kununua, Saivi umesahau unaanza kudai una ardhi huko. Kwali uwezo wako wa kufikiri ni mdogo. Nikishauza ardhi nitakuja nikupe report, Lengo lako wewe si ni ku- tarnish image yangu?

Freema Agyeman
View Profile View Forum Posts Private Message Add as Contact 6th September 2011 12:00 #18 JF Senior Expert Member
Join Date : 3rd March 2011
Posts : 530Rep Power : 22 Re: Ninauza shamba lenye ukubwa wa ekari moja
Ndugu M-Pesa kizui chajiuza na kibaya chajitembeza!

Kwa jinsi ulivyoshika bango, wanunuzi watarajiwa tumeshtuka.
LikeMiaka 50 ya uhuru: tunajadili upatikanaji wa maji na sukari; kukosa umeme ni janga la Taifa! Reply Reply With Quote .

View Profile View Forum Posts Private Message Add as Contact Send Email 6th September 2011 12:03 #19 JF Senior Expert Member

M-pesa, najua utauza tu hiyo ardhi kwa sababu matapeli mna njia mbalimbali za kurubuni watu. Mfano mdogo ni jinsi tu ulivyoanzisha thread nyingine chapchap na kuleta mikwara koko kwa kupitia PM. Ninachotaka kuhakikisha ni kwamba hata kama unatapeli lakini sio kwa kutumia JF.

View Profile View Forum Posts Private Message Add as Contact Send Email 6th September 2011 12:05 #20 Member

Asante kwa ushauri, kama nilivyosema sipo desparate kwenye kuuza. Na mara nyingi waongeaji sana huwa sio wanunuzi.

By Freema Agyeman

https://www.jamiiforums.com/members/reasoning.html

Wewe kwani ni nani hapa mwenye kufuatilia ID za watu kiasi hicho!.
 
Huyu jamaa ndugu yangu kanisakama kweli, hajui kwamba watu wanaanzisha thread kwenye majukwaa ambayo viewers wapo wengi. Kwa mfano sioni ubaya mtu akianzisha thread zenye content moja kwenye jukwaa la biashara, matangazo madogo madogo, Habari mchanganyiko ili iwe viewed na watu wengi. Watu wenye utaalam wa online marketing hilo wanalijua wazi. &lt;br /&gt;<br />
But ukikutana na member kama zeMarcopolo ambaye kajifunzia ku-surf internet cafee' za uswahilini ataanza kukushushia tuhuma za kwamba we ni Tapeli.&lt;br /&gt;<br />
&lt;br /&gt;<br />
Wewe kwani ni nani hapa mwenye kufuatilia ID za watu kiasi hicho!.
&amp;lt;br /&amp;gt;&lt;br /&gt;<br />
&amp;lt;br /&amp;gt;
 
mkuu Reasoning ..... asante sana kwa post yako
 
Nielekeze huko ni wapi niende nikachukuwe ekari zangu za kutosha. Au utaniambia nawe uliambiwa?

Week mbili zilizopita Wahindi wamenunua eka moja Tsh 1.0M kijiji cha Mfuru Mwambao/Marogoro, lakini kabla ya hapo tumekuwa tukinunua kwa laki tatu kwa eka. Hii njia ya kuanzia Kibada, Kisarawe II, Mwongozo huko, Geza mpaka mitaa ya Tundwi Songani bei ndio hiyo anayo sema Fuso, lakini njia ya upande wa Mfuru mwambao bei bado iko chini kama nilivyosema. Njia zote hizi zinakutana Tundwi songani pale kuelekea Kigamboni au Vikindu.

Mashamba mazuri yenye maji yapo na kwa bei nzuri, tatizo wengi huwa wanakwenda kutafuta mashamba wakiwa macho juu, lazima ubamizwe.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom