Nauza Samsung Galaxy Tab A 2016

Mtende

Mtende

JF-Expert Member
Joined
Sep 27, 2010
Messages
4,081
Likes
374
Points
180
Mtende

Mtende

JF-Expert Member
Joined Sep 27, 2010
4,081 374 180
Kichwa cha habari chajieleza,
Model SM-T 280
Android Vesrion 5.1.1
Battery capacity 4000 mAh
Device storage 8GB
Condition ni mpya haijawahi kutumika tangu inunuliwe
Bei 600,000 negociation allowed
Ipo pamoja na cover yake

Kama unahitaji maelezo zaidi,please feel free

img_20171027_082346_389-jpg.618182
img_20171027_082426_016-jpg.618183
img_20171027_082327_065-jpg.618184
 
Ndjabu Da Dude

Ndjabu Da Dude

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2008
Messages
3,956
Likes
646
Points
280
Ndjabu Da Dude

Ndjabu Da Dude

JF-Expert Member
Joined Aug 29, 2008
3,956 646 280
Wewe ni MWONGO!!!! Huna hata haya kitu kinaonyesha kabisa kimetumika. PUMBAAAAF!!

Kwanza kuwa na cover pekee yake tayari inaonyesha imetumika acha hizo scratches au sijui gundi nyuma
 
Extrovert

Extrovert

JF-Expert Member
Joined
Feb 29, 2016
Messages
8,321
Likes
9,554
Points
280
Extrovert

Extrovert

JF-Expert Member
Joined Feb 29, 2016
8,321 9,554 280
Huo uchafu hapo nyuma umetoka nayo kiwandani nini?
 
Ndjabu Da Dude

Ndjabu Da Dude

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2008
Messages
3,956
Likes
646
Points
280
Ndjabu Da Dude

Ndjabu Da Dude

JF-Expert Member
Joined Aug 29, 2008
3,956 646 280
Pambana na hali yako mkuu,usinitolee stress zako asubuhi hii
Mimi napambana nikutolee stress kwani tunafahamiana? Sasa na njaa zako, hutapata mtu wa kununua hiyo takataka
 
Mtende

Mtende

JF-Expert Member
Joined
Sep 27, 2010
Messages
4,081
Likes
374
Points
180
Mtende

Mtende

JF-Expert Member
Joined Sep 27, 2010
4,081 374 180
Huo uchafu hapo nyuma umetoka nayo kiwandani nini?
Nimebandua lebel aliyokua na jina langu imeacha kama gundi ndio inayoonekana hapo,kwa kifupi hii tab nilitumiwa kutoka amrekani na iliwekwa lebel yenye jina langu nyuma
 
Mtende

Mtende

JF-Expert Member
Joined
Sep 27, 2010
Messages
4,081
Likes
374
Points
180
Mtende

Mtende

JF-Expert Member
Joined Sep 27, 2010
4,081 374 180
Mimi napambana nikutolee stress kwani tunafahamiana? Sasa na njaa zako, hutapata mtu wa kununua hiyo takataka
Pole,siuzii shida mpendwa nauza kwa sababu sina matumizi nayo, nadhani una stress,the way you react on this inaonyesha mwenye njaa ni wewe,kama umeona imetumika hukua na haja ya kutukana,ungepita kimya,by tge way, uwe na siku njema
 
Ndjabu Da Dude

Ndjabu Da Dude

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2008
Messages
3,956
Likes
646
Points
280
Ndjabu Da Dude

Ndjabu Da Dude

JF-Expert Member
Joined Aug 29, 2008
3,956 646 280
Pole,siuzii shida mpendwa nauza kwa sababu sina matumizi nayo, nadhani una stress,the way you react on this inaonyesha mwenye njaa ni wewe,kama umeona imetumika hukua na haja ya kutukana,ungepita kimya,by tge way, uwe na siku njema
Hata kudanganya hujui! Utumiwe tab kutoka Marekani ina jina lako? Kwanini iwe na label ya jina lako? Hii sii njaa tena ni starvation
 
Mtende

Mtende

JF-Expert Member
Joined
Sep 27, 2010
Messages
4,081
Likes
374
Points
180
Mtende

Mtende

JF-Expert Member
Joined Sep 27, 2010
4,081 374 180
Hata kudanganya hujui! Utumiwe tab kutoka Marekani ina jina lako? Hii sii njaa tena ni starvation
Yeah iliwekwa lebel yenye jina kwa sababu zilikua nyingi na kila moja ilitumwa kwa mtu spesific,nina mashaka na uelewa wako ndugu,usiumizwe sana na hii post unaweza ukapotezea t kama hutojali
 
Ndjabu Da Dude

Ndjabu Da Dude

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2008
Messages
3,956
Likes
646
Points
280
Ndjabu Da Dude

Ndjabu Da Dude

JF-Expert Member
Joined Aug 29, 2008
3,956 646 280
Yeah iliwekwa lebel yenye jina kwa sababu zilikua nyingi na kila moja ilitumwa kwa mtu spesific,nina mashaka na uelewa wako ndugu,usiumizwe sana na hii post unaweza ukapotezea t kama hutojali
Tusiende mbali sana na kuanza kushambuliana. La msingi hiyo tab ni USED na ungesema ukweli. Una proof gani kama ni mpya haijawahi kutumika? Ipo kwenye original packaging na sticker ya display ni intact?
 
Mtende

Mtende

JF-Expert Member
Joined
Sep 27, 2010
Messages
4,081
Likes
374
Points
180
Mtende

Mtende

JF-Expert Member
Joined Sep 27, 2010
4,081 374 180
Tusiende mbali sana na kuanza kushambuliana. La msingi hiyo tab ni USED na ungesema ukweli. Una proof gani kama ni mpya haijawahi kutumika? Ipo kwenye original packaging na sticker ya display ni intact?
Mnunuzi anaweza kuhitaji nikampatia ikiwa na full package yake,na pia nadhani kitu kipya ukikiangalia unakijua,

Kama kuna anehitaji,sina wasiwasi na ninachoongea
 
kibori nangai

kibori nangai

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2015
Messages
252
Likes
152
Points
60
kibori nangai

kibori nangai

JF-Expert Member
Joined Jan 14, 2015
252 152 60
Ndjabu Da Dude

Ndjabu Da Dude

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2008
Messages
3,956
Likes
646
Points
280
Ndjabu Da Dude

Ndjabu Da Dude

JF-Expert Member
Joined Aug 29, 2008
3,956 646 280
Mnunuzi anaweza kuhitaji nikampatia ikiwa na full package yake,na pia nadhani kitu kipya ukikiangalia unakijua,

Kama kuna anehitaji,sina wasiwasi na ninachoongea
Sasa picha hazidanganyi. Umeweka picha zako na kitu kinaoneysha kimetumika. Kwanini usiweke picha za hiyo "full package" uturidhishe kabisa kweli kitu ni kipya?
 
Ndjabu Da Dude

Ndjabu Da Dude

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2008
Messages
3,956
Likes
646
Points
280
Ndjabu Da Dude

Ndjabu Da Dude

JF-Expert Member
Joined Aug 29, 2008
3,956 646 280
Umeitoa kwenye original sealed packaging ukaiwasha halafu ukaiweka kwenye cover. Atakayekuamini kuwa ni "mpya kabisa haijatumika" atakuwa na matatizo ya uelewa. Tabs zimejaa kariakoo mpya unafungua mwenyewe kwenye boksi kwa laki 4 tena ni Cellular/4G acha hiyo wifi only. Au sababu imetoka Marekani?
 
N

nzoka boy

JF-Expert Member
Joined
Oct 14, 2017
Messages
508
Likes
404
Points
80
N

nzoka boy

JF-Expert Member
Joined Oct 14, 2017
508 404 80
mkuu n laki 6, au 60 alfu cjaelewa ila nmeipenda
 
Forum statistics

Threads 1,214,299
Members 462,650
Posts 28,508,293