Nauza Samsung Galaxy s5 mpya Kwa 900k,huawei y300 mpya kwa 160k na Nokia Lumia 820 mpya kwa 400k... Pm me if ua interested.
Lumia kwa 300000
Y300 kwa 130!
Y300 nakupa 120,000
Sent from my iPhone 4S using JamiiForums app
kamanda nikupe 200,000 na Nokia lumia 510 ili nichukue lumia hiyo
Nauza Samsung Galaxy s5 mpya Kwa 900k,huawei y300 mpya kwa 160k na Nokia Lumia 820 mpya kwa 400k... Pm me if ua interested.
nahitaji s5 ni original? Nipe namba yako
900k ndo nini?!
Weka namba nikupe hyo 150 na iwe brandnew kweli with all vifaa vyake!
Mkuu weka namba 2fanye biashara
Piga 0768643685...