Nauza salon ya kiume 6,000,000/=

Siyo mbwembwe mimi sasa hivi napiga dollars tu . Sasa Safari za nje zimekuwa nyingi hivyo usimizi umekuwa mdogo ndiyo maana nauza hii salon nipige fedha kubwa kubwa vizuri.
Niliwai kufungua biashara ya Salon aisee nipasua kichwa hao vinyozi wenyewe wanavyoringa yani salon yangu mwenyewe ilitaka kunipeleka jela labda kinyozi uwe wewe mwenyewe
 
Ni kweli salon inataka usimamizi wa maana , bila hivyo ni chenga chenga. Ndiyo maana mimi ninaiuza kwa sababu nina biashara nyingine kubwa inaniganya nakuwa busy sana nashindwa kuisimamia hii salon.
 
Natadhaharisha tu watu hii saloon ni nzuri kweli kama inavyoonekana ila napata mashaka kidogo maana Saloon ikuingizie uhakika wa 60,000 per day uhakika hiyo halafu uiuze??? nawasi wasi Muuzaji utakua ulipewa kama MSIMAMIZI wa saloon na wala saloon sio yako.

Ndio mana hata KODI hajaimalizia anataka aiuze halafu akimbie,siku mwenye saloon akija Ndio balaa litakapoanza upya,na kwa kusoma soma tu Mwenye saloon ndio huyo jamaa mwenye safari za nnje anaepiga mi dollar so huyu msimamaizi TAMAA imemwingia au ametibuana na boss wake ameamua kuiuza saloon.

Kwa mnunuaji kama ndugu yetu Saint Ivuga nakushauri ukitaka hiyo saloon inunue ila usifanyie biashara kwenye hiyo frem,ONDOKA na vitu vyako KODI iliyobaki tafuta mpangaji pangisha kula kodi yako.

Muuza saloon huyu nina mashaka sana kama ndio mmiliki halali wa hii saloon...Kuna kibosile huko hajui kama biashara yake huku inapigwa mnada..yeyote atakae itaka hii saloon AENDE NA TAHADHARI 100% Andikishianeni hadi vitana na powder. mbele ya serikali ya mtaa team nzima OTHERWISE akija huko BOSS mwenye saloon ambae hatumjui Unaweza jikuta wewe mnunuaji unalala sero bila kujua.

Watu wanatafuta hela kwa shida ndugu zangu,arudi alafu akukute umwambie kirahisi tu NIMEUZIWA SALOON HIII bwana bwana waulizeni TISS walichofanywa na ZACHARIA walipomfata ofisini kwake.
 
Niliwai kufungua biashara ya Salon aisee nipasua kichwa hao vinyozi wenyewe wanavyoringa yani salon yangu mwenyewe ilitaka kunipeleka jela labda kinyozi uwe wewe mwenyewe
kweli kazi ya saloon Boss wewe lkn huna cha kumfanya mfanyakazi wako..akisusa anakuachia saloon sijui utamnyoa nani na wakati hata Vuzi unanyolewa na mkeo,yani wembe tu kushika huwezi...
 
Natadhaharisha tu watu hii saloon ni nzuri kweli kama inavyoonekana ila napata mashaka kidogo maana Saloon ikuingizie uhakika wa 60,000 per day uhakika hiyo halafu uiuze??? nawasi wasi Muuzaji utakua ulipewa kama MSIMAMIZI wa saloon na wala saloon sio yako.

Ndio mana hata KODI hajaimalizia anataka aiuze halafu akimbie,siku mwenye saloon akija Ndio balaa litakapoanza upya,na kwa kusoma soma tu Mwenye saloon ndio huyo jamaa mwenye safari za nnje anaepiga mi dollar so huyu msimamaizi TAMAA imemwingia au ametibuana na boss wake ameamua kuiuza saloon.

Kwa mnunuaji kama ndugu yetu Saint Ivuga nakushauri ukitaka hiyo saloon inunue ila usifanyie biashara kwenye hiyo frem,ONDOKA na vitu vyako KODI iliyobaki tafuta mpangaji pangisha kula kodi yako.

Muuza saloon huyu nina mashaka sana kama ndio mmiliki halali wa hii saloon...Kuna kibosile huko hajui kama biashara yake huku inapigwa mnada..yeyote atakae itaka hii saloon AENDE NA TAHADHARI 100% Andikishianeni hadi vitana na powder. mbele ya serikali ya mtaa team nzima OTHERWISE akija huko BOSS mwenye saloon ambae hatumjui Unaweza jikuta wewe mnunuaji unalala sero bila kujua.

Watu wanatafuta hela kwa shida ndugu zangu,arudi alafu akukute umwambie kirahisi tu NIMEUZIWA SALOON HIII bwana bwana waulizeni TISS walichofanywa na ZACHARIA walipomfata ofisini kwake.
Hata mimi i smell something kwenye hili tangazo. Anadai anaingiza wastani wa laki moja kwa siku halafu anataka kuuza? Biashara yenye uhakika wa laki kwa siku tena saloon ni biashara nzuri sana. Aidha ameongeza hiyo income mara dufu au kuna namna nyingine. Kuna mdau mmoja ametowa wazo la kuandikishiana aindeshe kwa miezi mitatu apime joto kwanza.... hilo naunga mkono..
 
Halazimishwi mtu kununua , ooh smell ,oooh tapeli !!!

Wenye HEKIMA wapo kimya wanafanya yao....
 
Kub

Kubali miezi iyo tatu ili wasikuone tapeli mkuu. Mana maisha ni probability pia wanachoongea wadau yaweza kuwa ukweli tupu ama uongo tupu.anayejua u kweli ni wewe na Aliye mbinguni
 
Natadhaharisha tu watu hii saloon ni nzuri kweli kama inavyoonekana ila napata mashaka kidogo maana Saloon ikuingizie uhakika wa 60,000 per day uhakika hiyo halafu uiuze??? nawasi wasi Muuzaji utakua ulipewa kama MSIMAMIZI wa saloon na wala saloon sio yako.

Ndio mana hata KODI hajaimalizia anataka aiuze halafu akimbie,siku mwenye saloon akija Ndio balaa litakapoanza upya,na kwa kusoma soma tu Mwenye saloon ndio huyo jamaa mwenye safari za nnje anaepiga mi dollar so huyu msimamaizi TAMAA imemwingia au ametibuana na boss wake ameamua kuiuza saloon.

Kwa mnunuaji kama ndugu yetu Saint Ivuga nakushauri ukitaka hiyo saloon inunue ila usifanyie biashara kwenye hiyo frem,ONDOKA na vitu vyako KODI iliyobaki tafuta mpangaji pangisha kula kodi yako.

Muuza saloon huyu nina mashaka sana kama ndio mmiliki halali wa hii saloon...Kuna kibosile huko hajui kama biashara yake huku inapigwa mnada..yeyote atakae itaka hii saloon AENDE NA TAHADHARI 100% Andikishianeni hadi vitana na powder. mbele ya serikali ya mtaa team nzima OTHERWISE akija huko BOSS mwenye saloon ambae hatumjui Unaweza jikuta wewe mnunuaji unalala sero bila kujua.

Watu wanatafuta hela kwa shida ndugu zangu,arudi alafu akukute umwambie kirahisi tu NIMEUZIWA SALOON HIII bwana bwana waulizeni TISS walichofanywa na ZACHARIA walipomfata ofisini kwake.
Ndio maana Nimekupenda my sister.
Basi sikuwaza hivyo.
Na mimi nilivyo bussy ningekutana na usumbufu kidogo ninge gove up.
Asante sanaa.
JF in vichwa.
 
Wahi usichelewe acha maswali kujiuliza uliza bahati ndiyo hii ya kutoka kwako. Mimi nimeshatoka sasa hivi nimeanzisha biashara kubwa zaidi , nasafirisha majongoo bahari marekani.

NUNUA SALON NAWE UTOKE.
Mimi nauza majongoo mkuu
 
Natadhaharisha tu watu hii saloon ni nzuri kweli kama inavyoonekana ila napata mashaka kidogo maana Saloon ikuingizie uhakika wa 60,000 per day uhakika hiyo halafu uiuze??? nawasi wasi Muuzaji utakua ulipewa kama MSIMAMIZI wa saloon na wala saloon sio yako.

Ndio mana hata KODI hajaimalizia anataka aiuze halafu akimbie,siku mwenye saloon akija Ndio balaa litakapoanza upya,na kwa kusoma soma tu Mwenye saloon ndio huyo jamaa mwenye safari za nnje anaepiga mi dollar so huyu msimamaizi TAMAA imemwingia au ametibuana na boss wake ameamua kuiuza saloon.

Kwa mnunuaji kama ndugu yetu Saint Ivuga nakushauri ukitaka hiyo saloon inunue ila usifanyie biashara kwenye hiyo frem,ONDOKA na vitu vyako KODI iliyobaki tafuta mpangaji pangisha kula kodi yako.

Muuza saloon huyu nina mashaka sana kama ndio mmiliki halali wa hii saloon...Kuna kibosile huko hajui kama biashara yake huku inapigwa mnada..yeyote atakae itaka hii saloon AENDE NA TAHADHARI 100% Andikishianeni hadi vitana na powder. mbele ya serikali ya mtaa team nzima OTHERWISE akija huko BOSS mwenye saloon ambae hatumjui Unaweza jikuta wewe mnunuaji unalala sero bila kujua.

Watu wanatafuta hela kwa shida ndugu zangu,arudi alafu akukute umwambie kirahisi tu NIMEUZIWA SALOON HIII bwana bwana waulizeni TISS walichofanywa na ZACHARIA walipomfata ofisini kwake.
 
80000*30=2400000.kwa mwezi.

Ukitoa gharama za uendeshaji na kujihudumia wewe mwenye kula ukiwa hapo= 800000,inabaki 1.6 ml..

Halafu unaiuza. Milioni sita,
kwa akilia tu za asubuhi na hang over, hiyo saluni ilitakiwa kuuzwa zaidi ya 30ml
 
Jamani hii SALON ina vitu vifuatavyo ndani ambavyo vinauzwa pamoja na kufanya bei ianzie Mil.6.

1. Ina Viti 2 (vya kunyolea).
2. Ina Machine 2 ( za kimarekani) za kunyolea.
3. Ina sofa mbili za wateja kusubiria kunyoa.
4. Ina Kodi iliyobaki mpaka mwezi wa August,2019.
5. Ina Luku inayojitegemea. Na ukitaka kuondoka nayo utaondoka nayo.
6. Kodi kwa mwezi ni Tzs 150,000/=.
7. Ipo sehemu nzuri sana kwa biashara hiyo maana ni kituoni.

Bei naanzia million 6 , maongezi yapo kwa anayemaanisha. Simu 0739025947
Viti vya kunyolea vipo 2 , na kwaajili ya kusafishia kichwa 2 vya kusubiria vipo 2 na mashine ya kukaushia mataulo 1, Radio kubwa 1, na Ac kama unavyoiona hapo.
Machine 2 za kunyolea( za kimarekani)
IMG-20190509-WA0012.jpeg
IMG-20190509-WA0011.jpeg
IMG-20190509-WA0010.jpeg
IMG-20190509-WA0009.jpeg
IMG-20190509-WA0014.jpeg
IMG-20190509-WA0013.jpeg
 
Nicheck kwa namba hii 0739025947.

Bei 6,000,000/=

Kama umepungukiwa unaongea.
 
Similar Discussions

3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom