Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tuma pichaKama kichwa kinavyojieleza nauza ps3 fat ikiwa complete na pad zake pamoja na games zake
Location ni Mbeya mjini, nicheki pm if interested
Kula laki 2 keshoBei 350k non negotiableView attachment 1252314
ninahitaji sana ila bajeti yangu ndogo... umeweka games zipi mkuu... nipo mbeya pia.....Bado hujafika mkuu, bado mpya haina tatizo na iko complete kabisa
mkuu acha masihara pes 2020 haiwezi kucheza kwenye ps3Pes 2020, fifa 19, GTA 5, Need for Speed, Watch dog, Resident evil, Blur na WWE 2K17
poa mkuu nikifanikiwa kupata nyongeza nitakucheki...!Patched version
Still available
Imepungua bei gani sasaStill available
Mkuu nmeshaupdate ni 250k ambayo haishuki zaid ya hapo na kama upo mkoani natuma kwa gharama yangu yaaani kwenye hiyo 250k utatuma nauli kwanza, nikishaukatia tiketi na kampuni ya basi wakaconfirm na wewe , nakutumia number ya tiketi ndipo unamalizia kiasi kilichobaki.Imepungua bei gani sasa