Mkuu ina tatizo gani au ni hilo jina?WanaJF, naiuza hii pikipiki yangu bei chee. Kama umeipenda ni-PM kwa makubaliano zaidi.
<br />Nami pia natambua jukwaa la biashara lipo, lakini biashara yangu nimeamua kuifanyia katika jukwaa hili. Kama wewe si mnunuzi niache.
FF tafadhali pokea saluti tano toka kwangu. Nimeamini wewe kweli ni Great ThinkerYaani mmeshindwa kuelewa kuwa hii ni joke? Jsaudi, kumbuka kuwa JF imeingiliwa na ma"great thinkers" ambao a simple joke kama hii mpaka sasa hawaelewi, hata baada ya kuwaambia kuwa unalijuwa jukwa la biashara lakini hii yako umeona uweke huku, bado tu hawajakuelewa. Hii ndio the way of thinking ya Watanzania walio wengi kwa sasa, hawanishangazi na ndio maana kila wanachoambiwa wao hufata kama misukule bila hata ya kuelewa maana.
Eeh, nyinyi misukule, Jsaudi alikuwa anajoke ili muone jina la hiyo pikipiki, atauza bila kuwawekea bei?
Mara ngapi umefanya hivyo?
WanaJF, naiuza hii pikipiki yangu bei chee. Kama umeipenda ni-PM kwa makubaliano zaidi.