nauza nyumba

hsmyella

Member
Dec 12, 2012
8
0
Hi! wanajamii, nauza nyumba ipo mbezi luis njia panda ya makabe ni km 1.3 kutoka morogoro road, ina vyumba 4 kimoja master, public toilet, jiko, stoo, bado finishing kidogo. kiwanja kinaukubwa wa sqm 650.bei yake ni mil 90.kwa mawasiliano nipigie 0767146448.mimi ndiye mmiliki wa nyumba.Bei inazungumzika.asanteni.
 
Hizi picha zinaoneka zilipigwa mwaka 2011,tafadhari naomba uweke picha 2012,ambazo ni za hivi karibuni!!
 
TUKUTUKU,jamaa amesema anauza nyumba yake milioni 90 JUST akasema uuzwe 92 ndo na mm nikamuuliza JUST kwa hiyo mbili ameitoa wapi!!!
Sawa nimekuelewa mkuu,kwa kusema ukweli garama za ujenzi kwa sasa zipo juu,lakini siyo kwa kiwango hicho.Cha ziada ni kuwa inawezekana bei za viwanja maeneo hayo zipo juu sana ndiyo maana amefika hapo!!
 
naogopa sana kuuza asset!!ukiona mtu amefikia kuamua kuuza kuna tatizo but kama kuna uwezekano wa kutouza ni bora sana!!!anyway jamaa sijui hana hata mke amkamate ugoni apate hiyo hela!! ha ha ha ha,natania!
 
Nakubaliana na wewe mkuu ,kuuza asset ni jambo baya sana,lakini waswahili wanasema " kimfaacho mtu ni chake"
 
Hizi picha zinaoneka zilipigwa mwaka 2011,tafadhari naomba uweke picha 2012,ambazo ni za hivi karibuni!!

Hii nyumba ishauzwa mda mrefu mbona, au ni nyingie? .............ila ni kwa nini zinafanana ............Ogopa matapeli hata huku wapo!!!!!!!!
 
naogopa sana kuuza asset!!ukiona mtu amefikia kuamua kuuza kuna tatizo but kama kuna uwezekano wa kutouza ni bora sana!!!anyway jamaa sijui hana hata mke amkamate ugoni apate hiyo hela!! ha ha ha ha,natania!

Kama kuna kitu wa tz kinatucost ni hili la kung'ania property hata kama hali ya kiuchuni hairuhusu. Tunaona kariakoo baadhi ya watu wana maisha magumu lakini wana ardhi ambayo wakiuza au kukodisha maisha yao yangebadilika . inawezekana jamaa aliweka kipato chake chote kwenye ujenzi wa hiyo nyumba , na sasa hana njia nyingine ya kipato anachofanya ni kubadilisha muelekeo. Kibiashara yuko sahihi . Tukumbuke kuwa life expectacy ya mtanzania kwa sasa ni miaka 50 ! Kwa mitizamo hii ya kujinyima na kulimbikiza property wengi wanakufa wakiwa hawaja enjoy kabisa life.
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom