Magari ya Biashara

Senior Member
Sep 16, 2019
183
568
Nyumba ipo Mbezi beach upande wa chini
Ina vyumba vitatu kimoja master
Jiko, sebule, dinning na public toilet
Ina eneo lenye ukubwa wa sqm 1000
Hati miliki mkononi
Wahi sasa BEI ni milioni 200 Tu
Mawasiliano 0677 818283

134918085_180451437141712_6514442008606189050_o.jpg

Mawasiliano 0677 818283

135186982_180451447141711_714732412543814666_o.jpg

Mawasiliano 0677 818283
135427109_180451440475045_711235422275091152_o.jpg

Mawasiliano 0677 818283
135833271_180451457141710_172716484051129893_o.jpg

Mawasiliano 0677 818283
136204490_180451453808377_6145632819545059234_o.jpg

Mawasiliano 0677 818283

Apartment ina vyumba 3 vya kulala
Ipo floor ya pili ya jengo
Fully furnished... Ndani iko vzuri sana
Ipo mtaa wa msimbazi
BEI NI MILIONI 150 TU.. WAHI SASA

Unaweza kupangisha kwa mwezi ukapata 600,000

Mawasiliano 0677 818283

FB_IMG_1610199372936.jpg
FB_IMG_1610199378560.jpg
FB_IMG_1610199386788.jpg
FB_IMG_1610199365245.jpg

FB_IMG_1610199365245.jpg
FB_IMG_1610199378560.jpg
FB_IMG_1610199386788.jpg
FB_IMG_1610199402540.jpg
FB_IMG_1610199402540.jpg
 
Apartment ina vyumba 3 vya kulala
Ipo floor ya pili ya jengo
Fully furnished... Ndani iko vzuri sana
Ipo mtaa wa msimbazi
BEI NI MILIONI 150 TU.. WAHI SASA

Unaweza kupangisha kwa mwezi ukapata 600,000

Mawasiliano 0677 818283

View attachment 1672945View attachment 1672946View attachment 1672947View attachment 1672944

View attachment 1672944View attachment 1672946View attachment 1672947View attachment 1672949View attachment 1672949
Screenshot_20210110-092005.png

Payback period in term of Year.
 
Hapo unanunua eneo.

Kuna maeneo hapa Dar, unaweza kupata Apartment kama hiyo kwa 50mil.
Na baada ya 20 years maeneo hayo yakawa kama Kariakoo.
Moja ya maeneo mazuri kununua apartments ni Tandika.
Hiyo ni kariakoo in 20 years.

Kila kitu kinapatikana Tandika kwa bei ya Kariakoo, na wateja wengi kutoka mikoa ya kusini huishia Tandika.
Tatizo ni miundombinu, na uongozi mbovu usiojua kutega uchumi katika maeneo yao. That's a treasure cove, ila kwa sababu zisizo na maana viongozi wa manispaa wanajenga barabara kijichi na kuacha kwa makusudi kabisa kile kipande cha Sudan kuelekea Majaribio.

Ukiuliza watu wanakwambia eti kule ni watu wa CUF.
Very sad.
 
Apartment ina vyumba 3 vya kulala
Ipo floor ya pili ya jengo
Fully furnished... Ndani iko vzuri sana
Ipo mtaa wa msimbazi
BEI NI MILIONI 150 TU.. WAHI SASA

Unaweza kupangisha kwa mwezi ukapata 600,000

Mawasiliano 0677 818283

View attachment 1672945View attachment 1672946View attachment 1672947View attachment 1672944

View attachment 1672944View attachment 1672946View attachment 1672947View attachment 1672949View attachment 1672949
Parking nje ndo mtihani wa Kariakoo (city centre) pia malezi ya watoto huko Ni changamoto nyingine
 
Mkuu hata Mbagala kwa sasa sio pa kupaacha ni eneo la thamani mno pale Zakhem mpaka Kokoto biashara tupu kwa sasa zaidi ya 90% ya mahitaji yanapatikana mbagala kwa bei nafuu sawa au zaidi kidogo na k/koo.
Hapo unanunua eneo.

Kuna maeneo hapa Dar, unaweza kupata Apartment kama hiyo kwa 50mil.
Na baada ya 20 years maeneo hayo yakawa kama Kariakoo.
Moja ya maeneo mazuri kununua apartments ni Tandika.
Hiyo ni kariakoo in 20 years.

Kila kitu kinapatikana Tandika kwa bei ya Kariakoo, na wateja wengi kutoka mikoa ya kusini huishia Tandika.
Tatizo ni miundombinu, na uongozi mbovu usiojua kutega uchumi katika maeneo yao. That's a treasure cove, ila kwa sababu zisizo na maana viongozi wa manispaa wanajenga barabara kijichi na kuacha kwa makusudi kabisa kile kipande cha Sudan kuelekea Majaribio.

Ukiuliza watu wanakwambia eti kule ni watu wa CUF.
Very sad.
 
NYUMBA 2 KWA PAMOJA ZINAUZWA....Mbezi beach

Ina vyumba 5 vitatu vya nyumba kubwa na vyote ni master na viwili vya nyumba ndogo (servant quarter)

Barabara ya lami mpaka mlangoni....(ipo barabarani kabisaa)

Nyumba ipo Mbezi beach.... INA HATI MILIKI

Eneo la kiwanja ni sqm 900

Umbali ni mita 700 kutoka Bagamoyo road.. na ni barabara ya lami mpaka unafika kwenye mjengo huo

BEI NI MILIONI 450 TU...
🙆
🙆
🙆

0677 818283
1.jpg
2.jpg
3.jpg
4.jpg
5.jpg
6.jpg
7.jpg
8.jpg
Kama unahitaji kuuza au kununua nyumba hapa jijini dar es salaam usisite kuwasiliana nasi

0677 818283​
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom