Nauza nyumba kwa Tshs 20,000,000/= (Milioni Ishirini)

HAKUNAGA

JF-Expert Member
Jan 3, 2012
301
72
Nauza nyumba kwa Tshs 20,000,000/= (Milioni Ishirini). Ipo Kigogo Kati, Wilaya ya Kinondoni, Dar es Salaam.Nicheki kwa namba 0713-632526
 
Panafikikaje?
Maji, Umeme, Barabara, Muonekano wa Nyumba??
 
kigogo kati pale ambapo kesi yake iko bado kwa pilato?n vp kuhusu mustakabali wa mafuriko?ha ha ha ha labda ingekua 2M
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom