nauza nyumba kigamboni near mikadi beach | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

nauza nyumba kigamboni near mikadi beach

Discussion in 'Matangazo madogo' started by survivor03, Jan 11, 2012.

 1. survivor03

  survivor03 JF-Expert Member

  #1
  Jan 11, 2012
  Joined: Jan 10, 2012
  Messages: 225
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Nauza nyumba kigamboni tuamoyo karibu na maeneo ya mikadi beach, ukubwa 440 sqm ina vyumba 11 imepimwa ina offer na hati ya majengo na ina umeme. Contact 0715388666
   
 2. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #2
  Jan 11, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Vp kuhusu mradi umefikia wapi ule wa bush? Mbona hauweki wazi? Mbona sisi binadamu tunapenda kuingiza watu machanga ya macho? Kgamboni si wamezuia watu wasiuze maeneo yao mbona wewe unataka kuwauzia watu,jaman hela ngumu:::::maeneo ya ferry,kwa urasa,tuamoyo,tungi,mjimwema,kisiwani,kibada mwanzoni,kisota,vijibweni kote vipusa huko usiwaingize watu vyoo vya kike
   
 3. survivor03

  survivor03 JF-Expert Member

  #3
  Jan 11, 2012
  Joined: Jan 10, 2012
  Messages: 225
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Ndugu yangu kuhusu stop oder iliyotolewa ya miaka mitatu imekwisha, wananchi wanaweza kuuza nyumba zao na kujenga kwa kuchukua kibali kutoka ardhi yote yamezungumzwa bungeni nov 11, 2011 search kwenye google kwa taarifa zaidi. Na isitoshe juzi mkataba umesainiwa wa kujengwa daraja la kigamboni kwa zaidi ya billion 200.
   
 4. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #4
  Jan 11, 2012
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,276
  Likes Received: 5,637
  Trophy Points: 280
  Hamad rashid na kafulila waungane wakanunue hiyo nyumba maana hali zao zinatakiwa kukaaa karibu na bichi tuuu
   
 5. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #5
  Jan 11, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Mkuu acha hizo bunge nimeangalia mwanzo mwisho sijaona hilo zaidi ya Dr Faustine ndugulile kumuuliza hatma ya wapiga kura wake na ameipa serikali mda mpaka june 2012 watoe jibu otherwise atawaambia wakazi wa kigamboni waendelee na maendelezo au kama wewe unazo taarifa za google ebu weka link au hansard tuone hapo bunge lilivyotoa taarifa

  Hilo la daraja haliusiani na mradi hata bush asingechukua daraja litajengwa tu
   
 6. survivor03

  survivor03 JF-Expert Member

  #6
  Jan 11, 2012
  Joined: Jan 10, 2012
  Messages: 225
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Bro, Check maelezo ya bunge nakutumia search text kigamboni page 18.
   

  Attached Files:

Loading...