Nauza Nyumba ipo Iringa mjini maeneo ya kihesa sokoni (transfoma)

2018

JF-Expert Member
Jan 1, 2018
546
778
Habari wanajamvi,nauza Nyumba ipo eneo husika hapo juu,kama unahitaji njoo inbox au hapa hapa,au kama wewe ni dalali upo maeneo ya Iringa mjini nicheki pia
 
Astaghafullulah

Hili tangazo lina mapungufu si chini ya 5.
- Bei
-Ukubwa wa eneo
-Muundo wa nyumba
-Picha
-Bei ni fixed au negotiable
-Malipo ni cash au instalment.
N.k
Tangazo likiwekwa wazi unaweza kumfanya mtu anunue bidhaa bila kukusudia.
Ongeza nyama kidogo humu tupo ma don tupu tutainunua.
IMG_20210927_201104.jpg

Hii hapa wadau.
 
Habari wanajamvi,nauza Nyumba ipo eneo husika hapo juu,kama unahitaji njoo inbox au hapa hapa,au kama wewe ni dalali upo maeneo ya Iringa mjini nicheki pia

Tangazo halijajitosheleza hata kidogo
Nyumba ina ukubwa gani?
Ukubwa wa eneo nyumba ilipo?
Bei ya nyumba?
Picha ya nyumba
N.k
 
Haahaaa nyie wote sio wanunuzi wala sio madalali,ilo tangazo linajitosheleza kabisa kwa mtu anayehitaji nyumba maeneo hayo
 
Back
Top Bottom