Nauza Nokia E7 nipo bukoba

Desmond Kamala

Senior Member
Feb 20, 2014
134
8
nauza nokia e7 ni used kwa miezi minne,kioo kimevujia kdgo ila inaonesha,unaweza kuchange kioo kwakua bdo ni mpya bei 125000,kama unahitaj ni pm
 
Attachments

  • e7.jpg
    e7.jpg
    8.5 KB · Views: 55
  • e7,2.jpg
    e7,2.jpg
    7.9 KB · Views: 53
  • e7,3.jpg
    e7,3.jpg
    9.3 KB · Views: 51
mkuu, we unajua ghalama za kuweka kioo kipya??? Ukijumlisha na hiyo 125000 unayoitaka ni bora bora nikachukue Tecno ya maana. Kama vipi nikutandike na 70,000 cash
 
mkuu, we unajua ghalama za kuweka kioo kipya??? Ukijumlisha na hiyo 125000 unayoitaka ni bora bora nikachukue Tecno ya maana. Kama vipi nikutandike na 70,000 cash

aah mkuu kioo elfu 20,au ni pm 2fanye makubaliano
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom