NAUZA NISSAN PATROL MIL 5.5

billz949

JF-Expert Member
Jul 14, 2013
311
71
Body ya gari imechoka Kidogo sababu ya kupaki kwa muda mwingi kuliko kutumika....ila engine yake ni Kama mpya kabisa (iko bomba Sana).Gari ni ya milango Mitano,manual,six cylinder TD42 diesel engine. Niko tayari kuuza ama kufanya exchange na gari ndogo.Kwa picha na maongezi njoo tuzungumze 0763969066
 
Body ya gari imechoka Kidogo sababu ya kupaki kwa muda mwingi kuliko kutumika....ila engine yake ni Kama mpya kabisa (iko bomba Sana).Niko tayari kuuza ama kufanya exchange na gari ndogo.Kwa picha na maongezi njoo tuzungumze 0763969066
Ni long au short chasis, petrol, diesel au gas? Kama Ni petrol Ni 4 au 6 cylinder na Ni Aina gani ya engen jibu the same na petrol eng Ni Td ngapi? Ungeweka picha na maswali yatapungua Ni vitu vingi Sana vya kuuliza Kama picha hakuna
 
updated
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom