Body ya gari imechoka Kidogo sababu ya kupaki kwa muda mwingi kuliko kutumika....ila engine yake ni Kama mpya kabisa (iko bomba Sana).Gari ni ya milango Mitano,manual,six cylinder TD42 diesel engine. Niko tayari kuuza ama kufanya exchange na gari ndogo.Kwa picha na maongezi njoo tuzungumze 0763969066