Nauza nguruwe jike lenye mimba

Habari zenu Wana kiti Moto ...kwa kuwa humu nimekosa mteja Basi week ijayo si ndio sukukuu ,nimeamua kumlamba tu kisu na kilo nitauza tsh 9000 Bei elekezi ya serekali
 
Habari zenu Wana kiti Moto ...kwa kuwa humu nimekosa mteja Basi week ijayo si ndio sukukuu ,nimeamua kumlamba tu kisu na kilo nitauza tsh 9000 Bei elekezi ya serekali
duuh na mimba yake mkuu si uvumilie kidogo azae
 
Salaam Sana wakuu.
Nauza Hilo jike Bei ya kutupa ths laki 6 ila amepandwa Kama week 2 zimeisha .

Hiyo Ni zile mbegu ndefu Kama unavyomuona .

Mahali alipo Ni kiluvya gogoni dsm

Picha Zaid tuwasiliane what's up 07554040226

Uje umuone uongee
Namba yako ya simu iangalie vizuri imezidi namba apo
07554040226
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom