donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,047
- 21,519
Bei maelewano mkuuWeka bei, ulipo, aina gani unayouza...watu tujue!!
Wameshiba hatareDuu mabonge mno,wanatunzwa vizuri.
Mkuu inaonekana u mlafi sana wa maziwaNiajiri niwe nawatunza tu mshahara wangu ni kuwakamua tu na kuhakikisha wako vizuri
Wanaishu gani tarimeHao peleka Tarime
Lete m5 fastaweka bei fasta weka nkupe mihela
Ni matunzo tu mkuu jinolamamba-->Hadi raha kwa kweli .../
Bei maelewano aya tuanze nipo dar uyo bonge zaidi nna laki mbiliBei maelewano mkuu
***Ni matunzo tu mkuu jinolamamba
HahahahaBei maelewano aya tuanze nipo dar uyo bonge zaidi nna laki mbili