Nauza ndoo nyeupe za lita 10 elfu 3

Miss Natafuta

JF-Expert Member
Sep 16, 2015
25,525
45,741
NAUZA NDOO NDOGO ZA KAWAIDA ZA LITA 10 TS ELF 3 ZIPO MIA ZILIKUWA NA BLUEBAND NI MPYA
mo_oil_buckets.png
 
Naona amerekebisha kuwa anauza ndoo 100 kila moja 3,000/= hapo sawa ila swali la kizushi. Miss Natafuta Umezikwapua wapi?
Hakuna popote aliposema ni ndoo kumi, wala hajarekebisha popote, huu uzi mimi ni kati ya wa kwanza kuuona na ku comment.
Alichosema ni ndoo za lita 10 (ndoo ndogo), labda hii ndio ulidhani ni idadi badala ya size
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom