NAUZA MPUNGA - TABORA

CHE GUEVARA-II

JF-Expert Member
Jun 17, 2010
571
156
Habari za asubuhi wadau?
Natafuta wateja niwauzie gunia 175 za mpunga.
Gunia 1 = debe 6 (si chini ya kilo 100)
Bei kwa gunia 1: 60,000 Tshs
Mpunga upo Ndala (Tabora)

0763718328
 
Habari za asubuhi wadau?
Natafuta wateja niwauzie gunia 175 za mpunga.
Gunia 1 = debe 6 (si chini ya kilo 100)
Bei kwa gunia 1: 60,000 Tshs
Mpunga upo Ndala (Tabora)

0763718328
Bro kwani kule Ndala, Mwisi, Ziba, Nzega na igunga hakuna wateja? Tembelea kwenye mashine za kukoboa, ni lazima utawapata badala ya kukimbilia huku.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom