Nauza modem ya voda sh.35000 tu!!!

Nasikia wiki ijayo bei iatakuwa elfu 16 wewe hiyo tunza uje uwaachie jamaa zako yawezekana za sasa feki, au umeacha kutumia mtandao sasa au una moderm nyingi zaidi
 
hiyo hiyo ya zte k 3570 inauzwa elfu 15 tu. na vocha ya elfu kumi ndio inakuwa 25000.
 
hiyo hiyo ya zte k 3570 inauzwa elfu 15 tu. na vocha ya elfu kumi ndio inakuwa 25000.
Mkuu mlimani city duka gani wanauza hizo zte 3570 kwa bei hiyo? au huku kwenye ofisi zao karibu na hall na investment bank? maana mimi nilienda mle ndani madukani zinauzwa 44,000/ na hata Ohio street kwenye ofisi zao pia wanauza 44,000/
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom