Nauza modem ya evdo ya sasatel

drphone

JF-Expert Member
Sep 29, 2009
3,542
281
jamani nauza modem yangu ya sasatel ni mpya kabisa nimetumia 3week ipo na box lake ata nailoni sijatoa bei mapatano
 
Wonderful!,umesema imetumika kwa 3 weeks only!,at the same time unasema hujaitoa kata kwenye karatasi which is which?.Jamani Blog hii haijaruhusu kutapeliana mbona,matapeli wote ni sehemu ya mafisadi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom