Ni shaka na hii biashara inabidi kufanya utafiti wa kutosha kabla ya kununua
 
Hii nyumba naifaham . ni zaidi ya miaka 10 anatafutwa mteja hapatikani. wapangaji nao wakiingia hawakai hata week wanakimbia. Inasemekana nyumba ina mauzauza. Hapo ilipo hamna mtu anayelala ndani

Muwe mnawaweka watu wazi kuwaepushia watu hasara na usumbufu.

Angalizo kwa wanunuzi pia msikurupuke muwe mnaulizia na majirani pia kuhusians na status ya nyumba mnazotaka kununua au kupangisha
 
utakimbiza wateja mzee
 
Mjengo upo mbezi beach upande wa chini Mita 100 tu kutoka lami
Una vyumba 7 vyote self contained
Sitting room 2 juu na chini
Chini kuna dinning jiko na public toilet
Balcon juu ziko 2
Eneo ni sqm 1000 kubwa sanaa..
Ina fremu unayoweza kuweka ya kibiashara
Bei ni milioni 450 tu
Mawasiliano 0677 818283

View attachment 1863397View attachment 1863398View attachment 1863399View attachment 1863400View attachment 1863402View attachment 1863403View attachment 1863404View attachment 1863405View attachment 1863406View attachment 1863407View attachment 1863408View attachment 1863409View attachment 1863410
Mbona chafu hivi?
 
Hii nyumba naifaham . ni zaidi ya miaka 10 anatafutwa mteja hapatikani. wapangaji nao wakiingia hawakai hata week wanakimbia. Inasemekana nyumba ina mauzauza. Hapo ilipo hamna mtu anayelala ndani

Muwe mnawaweka watu wazi kuwaepushia watu hasara na usumbufu.

Angalizo kwa wanunuzi pia msikurupuke muwe mnaulizia na majirani pia kuhusians na status ya nyumba mnazotaka kununua au kupangisha
Kwa anayeogopa mauzauza kabla hajainunua anipe 20mil niondoe mauzauza yote ni mzoefu mkubwa na cv yangu ukihiitaji njoo pm
 
vyumba saba, na makorombwezo mengine, vya nini? watoto wanamaliza shule, wanaoa na kuolewa na kuhamia kwenye nyumba zao, mimi nabaki na wife tu kwenye vyumba 7. hahahaha.
 
Hii nyumba naifaham . ni zaidi ya miaka 10 anatafutwa mteja hapatikani. wapangaji nao wakiingia hawakai hata week wanakimbia. Inasemekana nyumba ina mauzauza. Hapo ilipo hamna mtu anayelala ndani

Muwe mnawaweka watu wazi kuwaepushia watu hasara na usumbufu.

Angalizo kwa wanunuzi pia msikurupuke muwe mnaulizia na majirani pia kuhusians na status ya nyumba mnazotaka kununua au kupangisha
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom