Nauza miti milingoti

JACKBIZZO

Member
Jul 11, 2013
83
12
wadau natafta mteja wa miti milingoti wizuli kwa nguzo na matumizi mengine bei maelewano, kwa mawasiliano +254726262660
au
utaliijackson@yahoo.com
 
Ilikua naa ndika namba yako nilipoona inaanzia na 254 nikachefukwa na moyo
 
for this tym niko NAIROBI KENYA ila narudi TZ after one month na miti iko IRINGA
 
wadau natafta mteja wa miti milingoti wizuli kwa nguzo na matumizi mengine bei maelewano, kwa mawasiliano +254726262660
au
utaliijackson@yahoo.com

Mkuu, ongeza nyama kwenye tangazo lako ili watu tuingie tukiwa na uhakika wa kupata faida.

Moja, miti iko mingapi, pili, hapo ilipo panafikika kwa gari kubwa la kubeba nguzo
Tatu, je unaruhusu mtu akinunua akaiacha kwa muda kabla ya kuvuna?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom