Marire JF-Expert Member May 1, 2012 12,326 5,264 Jul 18, 2019 Thread starter #161 Niliutelekeza Uzi Ila sijawaza kuacha kulima papai na naendelea kuvuna na kuotesha mapya
Marire JF-Expert Member May 1, 2012 12,326 5,264 Jul 19, 2019 Thread starter #162 Tunakula na kuotesha
Marire JF-Expert Member May 1, 2012 12,326 5,264 Jul 25, 2019 Thread starter #163 Miche ipo Bei 2000 Ushauri bure Location kiluvya gogoni dsm Mkoni tunatuma : Dsm nakusogezea karibu na kituoni kwako Simu ;0756404226 Nitakuelekeza maandalizi ya Nini Cha kufanya kabla hujaotesha ili uje uvune matunda mengi na Bora kabisa
Miche ipo Bei 2000 Ushauri bure Location kiluvya gogoni dsm Mkoni tunatuma : Dsm nakusogezea karibu na kituoni kwako Simu ;0756404226 Nitakuelekeza maandalizi ya Nini Cha kufanya kabla hujaotesha ili uje uvune matunda mengi na Bora kabisa
Marire JF-Expert Member May 1, 2012 12,326 5,264 Aug 6, 2019 Thread starter #164 Nitaanza kufanya delivery kwa wakazi wa dar lakini shariti ulipia kwanza kabla hujaletewa Miche ... Usisahau ushauri Ni bure na nitakuunganisha na wanunuzi wa papai zako
Nitaanza kufanya delivery kwa wakazi wa dar lakini shariti ulipia kwanza kabla hujaletewa Miche ... Usisahau ushauri Ni bure na nitakuunganisha na wanunuzi wa papai zako
Marire JF-Expert Member May 1, 2012 12,326 5,264 Aug 8, 2019 Thread starter #165 Mzigo huo hapo umeshalipiwa next Miche baada ya week 2 hivi weka oda yako
Marire JF-Expert Member May 1, 2012 12,326 5,264 Aug 24, 2019 Thread starter #169 Miche Bora kabisa . nakutumia popote kwa gharama zangu Bei 2000 tu!!
Marire JF-Expert Member May 1, 2012 12,326 5,264 Sep 2, 2019 Thread starter #170 Mkangaf said: Kwa mikoani vipi Click to expand... Acha uoga nakutumia buree
Marire JF-Expert Member May 1, 2012 12,326 5,264 Sep 6, 2019 Thread starter #172 Muda upo ,shamba lipo hapa tunagombana na Muda tu ,maana muda mchache Mambo mengi...kila dakika nayoipata naitumia shambani ... Miche ipo ushauri wa bureee kabisa What's up 0755404226
Muda upo ,shamba lipo hapa tunagombana na Muda tu ,maana muda mchache Mambo mengi...kila dakika nayoipata naitumia shambani ... Miche ipo ushauri wa bureee kabisa What's up 0755404226